Tanganyika hii NYERERE mwenyewe aliiponda akaiuza kwa wazanzibar.
Malechela alitaka kuipiga chini Zanzibar na kuianzisha Tanganyika wakati wa Mwinyi, walipojitokeza wabunge 55 au G-55,, Nyerere akaja juu kuutetea muungano hadi akamtungia Malechela kitabu.
Wa kumlaumu ni Nyerere aliyeiua...
Hiyo haifanyi Imani kuu za uislam, budha, Hindu, Shintoism, christian and others kutokuwa na maandiko au vitabu.
Kama Imani za kiafrica hazina rejea ndiyo maana zinakufa au kutoweka.
Ha
Hakuna taasisi, Mila, desturi, Imani, itikadi, isiyo na rejea ya andiko.
Bila andiko hakuna MUNGU, hakuna shetani hakuna Kanisa hakuna msikiyi, hakuna dhehebu au chochote.
Hiyo dunia nzima ndiyo gani
chalii.
Wanaolipa wangekuwa wa Kikwajuni, Mchambawima, Chake chake sawa.
Maana ndiyo waliyokopa na ndiko zinakojenga.
Ukope wewe nilipe mimi, huo ni utumwa na ubabe broo.
Sawa.
Wachina wameonesha magobole yao, sasa wachokoze ndiyo ujue za Siri wanazo au walionyesha zote.
Mwafrica hana mnyonge wake wa kumtambia labda hao wanyama wanaowafuga tu.
Wasio kuwa na lolote ndiyo hudharauliwa ??
Nilitaka kujua, sababu za chuki kubwa uliyo nayo kwake.
Mpenda haki huchukia uovu na uonevu.
Kama huna sababu basi unalipwa how much ???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.