Recent content by Komando tamimy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Huyu namjua vizuri ametafuta mafundi na amewapa site za kujenga nitazitaja nanitafukunyua madudu yake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Haya ndo kayaongea kaponda nami nimeyawakilisha bodi haina nguvu nguvu kapewa msimamizi mkuu wa kituo yaaani yeye ndo mununuzi wavifaaa msafirishaji yeye namuweka stooo yeye na mgawia mafundi yeye shida iko hapo.Na kasisitiza akumbukwe kwenye mgao wa pesa itakayobaki.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Utaratibu huu haupo labda upo kwenu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Haya cheusi mangala
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Na nani mchumba!?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Kumbe nawe ni mmoja wao nasikia umefurahi sana kukabidhiwa mgao
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Wakuu wengi wanataka wabaki 10m kwenye ujenzi huo.wakandarasi kutoka tamisemi wangeshughulikia hili.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Habarini wadau. Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye matumbo yetu. Na ni hatari sana kuwa na watu wa aina hii katika taifa letu. Miongoni mwa mambo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Kama nilivyosema most of the head of School are legalized bandits sasa kwenye Captation za ada wanaiba ? Je kwenye mamilioni haya ya ujenzi si ndio balaaa maanake mafundi waliotafuta upande wa ujenzi ni walevi kupindukia kwa sababu ya cheap price na chajuu tunahitaji kujenga shule ambazo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Ka Kama alitafuna pesa na kisha amerudishwa tuma details tamisemi through ortamisemi wamshughulikie fasta nadhani wote wawili hao watakwenda na maji.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Daaaaahhhh ni hatari ndio tanzania yetu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya wapelekwe kwenye vituo vyao vipya vya kazi

    Kivip kaka dadavua
Back
Top Bottom