Recent content by koloboy_

  1. K

    JamiiForums Tanzania Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Una uhakika ni Muislam huyo!? Christian Ronaldo amewahi kutoa msaada kwa Wapalestina na si muislam,acheni ubaguzi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yanga ina matatizo makubwa kimataifa

    Umeandika vema mno.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

    Uongo mtupu, zama hizi hakuna kabila lisilo na wasomi, watu wameamka wanasoma na kusomesha watoto wao. Tatizo la ajira ni mjuano.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

    Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nadhani ni vema kila mmoja akakomaa na kampuni anayoona inamfaa.
Back
Top Bottom