Punguza sana vyakula vya wanga utapungua. ..mfano hizo chapati mbili achana nazo. Kama ikiwezekana asubuhi kunywa chai ya mchai chai na mkate uliokaushwa just 1 slice. Mchana matunda na mboga mboga na maji mengi na usiku hivyo hivyo. Ukifanya serious mwezi 1 lazima mabadiliko yawepo. Mazoezi...
Kaka yangu huyo dada hakupendi kabisa na endapo utamuoa atakuja kukusumbua sana. Kipindi anakusumbua angekuwa ametulia hapo sawa lkn wewe mwenyewe umekiri kwamba alikuwa na mahusiano mengine tofauti tofauti. ......Wewe unamfanya "priority" wakati wewe kwake ni "option". Tulia kakangu Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.