Recent content by koku1998

  1. K

    Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

    Mmmmmmhhhhhhh!!!!!!!!!!! ZZK pole ila watz tunahitaj kauli yako thabit naya ukweli katika hili
  2. K

    Mwanafunzi Kamunyonge Secondary-Musoma auawa kikatili baada ya kubakwa!!!!!

    Huyo teacher achunguzwe vizur, shule yenyewe ya kata na iko mbali na mji kwa nini amrudishe mwanafunzi et kisa kasahau kuvaa tai, kwan hakukuw na adhab zingine? Chonde walimu wakat mwingine mfikirie usalama wa wanafunzi kuliko adhab
  3. K

    RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

    Aseme ukweli aondolewe huo ukuu wa mkoa? Ndo tz yetu kila kitu ni kusifia tuu nae et mwanaume na ana familia, hiv unaogopa nini kusema ukweli kama kumenuka si unasema? Mi nawachukia watu kama hao watu wanakufa unasema hakuna akiyekufa, lema kasema dhambi kubwa kuliko zote ni uoga, magamba...
  4. K

    Nisaidieni, mwanangu anaumwa!

    Nakushaur rud h'tal waangalie na vipimo vingine kama u.t.i inasumbua sana watoto ukiona bad tafuta mama mtu mzima anayejua dawa za watoto yawezekana ukawa mchango au ukaptula
  5. K

    Tatizo la kuwa na hasira hata kwa jambo dogo!

    Tatizo hilo pia laweza kusababishwa na kutoridhika/kufika kileleni wakat wa ufanyaj mapenzi, heb chunguza na hilo pia
  6. K

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Mi nashauri kutumia mizizi ya bamia, chukua mizizi iliyokwisha komaa na bamia kuchumwa, osha mizizi vizuri kisha ianike halafu twanga ili kupata unga. Weka nusu kijiko kidogo cha chai katika chai au uji unashauriwa kufanya zoezi hilo siku ambazo unajua uko na mama karibu .....
  7. K

    Barua: Kutoka kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi kwenda kwa Rais wa JMT

    Mi namsaport huyo mwl sana tuko nyuma yake na mbaya zaid utake kujiendeleza mikwara kibao wakiona wameshindwa utasikia kajisomeshe ukikubali unaambiwa walimu wachache, jaman serikal mnataka nini? Hamtak sekta ya elimu iwe na walimu? Kama hamtak bas achen kuajir na mpunguze manyanyaso hao...
Back
Top Bottom