Recent content by Kokolico

  1. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Mliosoma PCM miaka yenu ushauri tafadhali

    mi nimepiga pcm ila ninachokushauri achana na ya dunia ili uweze muzic wa pcm
  2. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

    wewe huna akili huoni rais UHURU KENYATTA ana skendo mpaka mahakama YA ICC LAKINI AMEPEWA FURSA ya kuongoza wakenya nin kinashindikana kwa hon LOWASS
  3. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

    wanatetemeka kwa sababu ni JEMBE ni kiongozi hodari
  4. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

    Kwa mawazo yangu naunga MKONO uamuzi wa wanachuo cha UDOM kuawa mweheshimiwa LOWASSA NDIE KIOngozi anaweza kuongoza taifa letu
  5. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Wazo langu wana jf MNAÖNAJE VYAMA VIWILI CHADEMA NA CCM ZIFUTWE
  6. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    mkuu suluhisho ndio hilo bt wafuasi wa CDM hawataweza kuvumilia kwa hio machavuko yanaweza kuongezeka
  7. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Jamani Watanzania tunaelekea wapi kama uchaguzi mdogo 2 tunamwaga damu hivyo 2015 itakuaje ?
  8. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Matoke ya kidato nne

    inabidi wapangiwe vyuo
  9. Kokolico

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

    mi nahisi CHADEMA imechanganyikiwa pamoja na viongozi wao na pia inatia taifa hasara ya kila siku ya kuahirishwa kwa mkutano wa bunge
  10. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA ni wakilishi wa wananchi ama chama?

    nikwel wabunge wa CHADEMA wapo bungeni kwa maslai ya chama hasa mbunge jimbo la Arusha
  11. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Lowassa anusurika kifo Morogoro

    Pole sana mh mungu anakupenda kutokana umuhimu wako katika taifa letu
  12. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2015

    Anayefaa ni mh LOWASSA
  13. Kokolico

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni mbunge atakayekumbukwa sana Monduli na Tanzania kwa ujumla

    Tutaendelea kumkumbuka sana mheshimiwa Lowassa kwa sababu ameleta sana maendeleo katika nchi yetu hasa katika jamii maskini kama jimbo lake la monduli hii inatokana kwa kauli mbiu yake ya elimu kwanza haya yanasihirisha kwamba hata jamii za ufugaji wamebadilika sana na kuipa elimu kipa umbele
Back
Top Bottom