Recent content by Kokeli

  1. K

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Badala ya kuzungumzia maadili yahusuyo rasilimali za taifa mtu anazungumzia maadili ya watoto kuangalia internet? mbona nchi yetu kuna watu wana mawazo mgando hivi? Zama hizi ni za kuzungumzia nani anamiliki mtandao fulani? Nimeshtushwa sana! Na kwa hoja hiyo mtu anapata ze posho?
  2. K

    Msafara wa mh. Nahodha Wapigwa Mawe Tunduma-Mbeya

    anadai kama yeye amefanyiwa hivyo na wengine itakuwaje... sijui anataka apigwe nani zaidi ya yeye
  3. K

    Mh Mbowe ndani ya USA!!

    mbona hizi picha hazitoi udhibitisho kuwa hapo ni USA? na kama alikwenda USA, aliyepost atuambie mbowe alikuwa anafanya nini chenye maslahi kujadili humu, vinginevyo tunaweza kuishia kujadili safari binafsi za mtu.
  4. K

    Wabunge wa CCM hatarini kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya

    hawa jamaa wa chama kikongwe pengine wamepata hasira kwa mwenyekiti wao kuwakana mambo ya miposho ya usingizi. sidhani kama hasira kubwa ni mapendekezo yao kuonekana pumba ila kukosa miposho. hebu wapeni lakini tano kila kikao muone watakavyopitisha hayo marekebisho hata kama mapendekezo...
  5. K

    PICHA; tuite sitting allowance au sleeping allowance?

    Kwa wengine kama hao waliopo pichani ni sleeping allowance, kwa wengine ni just sitting allowance, kwa wengine ni makofi allowance na kwa wengine ni working allowance at least kwa kukumbuka kutetea maslahi ya wapiga kura!
Back
Top Bottom