Recent content by Koffi Yardley

  1. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Alama ya mwisho ya anguko la Utawala wa CCM, Tanzania

    Hivi manyangau hutafuna watu siyo? Mbona kama hatishiki ... kumbukumbu za figisu za unaibu spika bunge la katiba uliziona weye? labda israeli awasaidie tena ... vinginevyo unafki mtupu. Cheki mijizi ilivyorejea kitaani na matanuzi yaleyale. Hii mijitu ni marafiki wa watoto waleeeee ... midalali...
  2. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Nahama nchi ... kubugia ugoro tu kila siku, tena wa kulazimishwa. Too much nonsense:mad::mad::mad::mad::mad::mad:
  3. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

    Afazali hujaenda UHUTUNI ... lilikua suala la mda tu. Jammaa kapewa na kuongezewa kamba ndefu akazani ni ya kufungia Punda kitoweo. Kumbe urefu wake ni toshelezi kujinyonga. Fait accompli!
  4. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Dada poaz je? Utani pembeni - utawajuaje walipa kodi wako bila kuwasajili. NIDA mijizi tu. Kama kawa, mambo ya hovyo hovyo kila kona
  5. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu kwa sasa imekuwa na UCHWARA mwingi kuliko uhalisia

    Muarobaini wa UCHWARA unadhihirika kila kukicha, HITAJI LA KATIBA MPYA mambo yawekwe sawa. Nakiri hapa kwamba CHAMA TWAWALA hakiwezi hata kidogo kutotoa UCHWARANI walikotufikisha. Vinginevyo basi tusingekua tunaelekea kuzima kwa spidi hii. Mambo ya hovyo hovyo kila kona. Kama Haiti vile...
  6. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Maalum kwako Rais Samia, Makamu Dkt. Mpango na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kilichotokea usiku katika Kitovu cha Biashara Dar es Salaam

    Already sent, delivered na received. Imetumwa na kupokelewa.
  7. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Sabaya hakua peke yake kwenye uporaji. Alilindwa na VIOMBO!
  8. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Hao wamarekani ndo Allah au?
  9. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mumuombe msamaha Yusuph Manji ama sivyo atawashtaki

    Mwambie akashitaki leo!
  10. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania ‘Fixed’?

    Pombeka kwa pombe. Pombe zipo za aina nyingi tu, ndio, pombe hiyo!
  11. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

    Uchafu kama wakwake ulivyo wazi unapelekea taswira gani ?
  12. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Angeanza kuzarau ile PhD ya Mkemia yule then tu-discuss.
  13. Koffi Yardley

    JamiiForums Tanzania The real face of Meko

    Rest of his thugs, you inclusive know and remain accessories. Unless you managed the neat trick of posting nonsense from HELL, you must be well above 6 feet, arent you?
Back
Top Bottom