Nadhani kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya sheria zetu ili ifike wakati sasa na sisi tuwe tunawafanyia vetting hawa mawaziri wetu.
The likes of akina Dr. Ngugulile tunawaacha au kuwaweka pembeni hadi wanapata kazi WHO huku sisi thamani zao tunazibeza.
Its a high time nadhani wamegundua kumpima mtu uwezo wake kwa kutumia mitihani miwili, mitatu au hata mitano sio njia sahihi ya kupima uweledi na uwezo halisi wa mwanafunzi.
Nadhani hii itafungua milango kwa nchi jirani na hasa za Jumuiya Ya Afrika Mashariki kujifunza kitu ili walau tuweze...
Hii issue ni ngume ku~appreciate moja kwa moja manaake kwa mfano msimu huu wa kilimo wakulima wanateseka sana mbolea bei haishikiki lakini serikali iko kimya.
Nilidhani serikali walau ingeingilia kati na kutoa tamko kama sio kutoa ruzuku walau wakulima wapate nafuu. Soko la mazao kama mahindi...
Nina imani kuna siku wananchi watachoka na hizi tabia na siku wakichoka ndio itakuwa anguko kuu la CCM.
Ifike mahala watambue kwamba kuwatumikia wananchi ni suala la kujitolea kwa asilimia kubwa na sio kutaka kula bata tu.
Viongozi wetu wanatakiwa kushuka chini sana ili kuweza kupata picha halisi za matatizo na changamoto zetu.
Na natamani ifike mahala tupunguze gharama kwenye posho na mishahara ya viongozi wetu ili walau kuchochea upatikanaji wa huduma muhimu ikiwemo Elimu, Maji na Afya katika jamii.
Nikiwa mwaka wa pili chuo kuna lecturer alitufundisha infact she was a PhD holder lakini lugha ya malkia ilkuwa inamtesa sana kiasi kwa alitumia lugha ya kiswahili kufundisha.
Neno kuwajibika huwa ni gumu sana kwa Watanzania and the fact is vyeo huwa ni vitamu sana. Mtu anawaza ajiuzuli kweli aache per di~em's, posho za vikao na usafiri and the likes? Mwisho wa siku mtu anaamua tu kama mbwai na iwe mbwai anaamua kubaki zake ofisini tu kikauzu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.