Recent content by Kobogoyo2020

  1. K

    JamiiForums Tanzania Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    Projects ninazo tuwadiliane tafadhali peno. hasegawa@yahoo.com
  2. K

    JamiiForums Tanzania Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    Ninaomba unijulishe namba yako ya simu Au email yako tuweze kuwasiliana. Nina miradi mizuri.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Tizeba ondoa wakurugenzi wote wanaoongoza bodi za mazao

    Naunga hoja. Hata kule Kilimanjaro Kuna bodi ya kahawa. Waondolewe wote
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: TLS ni mali ya umma, isigeuzwe mali binafsi

    Hii iko sawa walikuwa wanalipishwa sh 600.000kwa mwaka.
  5. K

    JamiiForums Tanzania DR Mollel wa Siha aicharanga CHADEMA kwa takwimu. Atoa ushuhuda mzito

    Phd sio meno useme Kila mtu anayo
  6. K

    JamiiForums Tanzania DR Mollel wa Siha aicharanga CHADEMA kwa takwimu. Atoa ushuhuda mzito

    Ili utambue ulikoingia ni choo Cha kike subiri mwaka 2020,utatupwa nje Na jina lako halitarudi ndio utatambua siasa ni mchezo mchafu. Hivi una Phd Wewe? Au ni udaktari wa binadamu
  7. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Gabriel Mandara afariki

    Nawapa Pole nyingi watu WA kwa mandara. Tuko pamoja. Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu
Back
Top Bottom