Recent content by Kobeee

  1. Kobeee

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atawaathiri kisaikolojia watendaji wake asipobadilika!

    Wafanyakazi wapo wengi mtaani Na wasomi
  2. Kobeee

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atawaathiri kisaikolojia watendaji wake asipobadilika!

    Nampongeza jpm sana na mleta mada inawezakana ni mmoja wa jipu la kutumbuliwa. Tuumpe mda magufuri aweke misingi, mfano kama China hawabebelezi mfanyakazi Na Leo wako mbali sana wakati tulikuwanao sawa miaka ya sabuni mwanzoni.
  3. Kobeee

    JamiiForums Tanzania Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

    Hata dunia tunayoshi inakadiriwa kuwa na umri wa 4.5 kaka
  4. Kobeee

    JamiiForums Tanzania Errors in genesis

    Binadam bhana unawaza dunia iliubwa na kubishana kipi cha kweli, ingesaidia kama tungewaza jinsi ya kuzui kufa au kula halafu tusife.
  5. Kobeee

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete aibukia Uingereza: Atunukiwa Heshima ya (CPTM)

    Waingereza ni wanafiki
Back
Top Bottom