Recent content by Koba

  1. K

    Fully self driving cars are here

    Waymo is first to put fully self-driving cars on US roads without a safety driver Andrew J. Hawkins Waymo, the autonomous vehicle division of Alphabet, Google’s parent company, reached an important milestone recently: since mid-October, the company has been operating its autonomous minivans on...
  2. K

    Dogo wa kiduku ana miaka 33, alizaliwa 1984: Lakini kishindo chake usipime.

    Kiduku mnamsifia sana subiri naye wamchomoe kwenye kishimo kama Saddam then mtaongea vizuri
  3. K

    Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

    Mnataka kuchafua majina ya watu bila ushahidi wowote humu,hiyo CPA inaonekana ulisoma kupasi mtihani tuu na hakuna kitu unajua ndio maana umekosa kazi, Bashite na Makonda ndio wana operate katika hii level ya niletee majina yao,next time tumia akili kutatua matatizo sio majungu
  4. K

    Undava Undava tu: Huku KIDUKU! Huku Iran. Iran wameliamsha Dude

    Washabikieni tuu hao kina kiduku na Iran ila wanachotafuta soon or later watakipata, billions kwenye useless missile huku wananchi wako njaa tupu,hawa watu ni hasara tupu
  5. K

    Mateso wanayopitia Warohingya Dhambi ni pale watu wanapokaa kimya madhila yanapotokea

    Sura, dini,background etc who cares wangewapa tu uraia yaishe ,watu wanajisahau binadamu tunapita tuu hapa na dunia haina mwenyewe hizo dini uislam, budha,ukristo etc zote ni man made na zenyewe zitabaki hapa hapa
  6. K

    Mateso wanayopitia Warohingya Dhambi ni pale watu wanapokaa kimya madhila yanapotokea

    Akili za matope hizi na una tofauti gani na hao wauaji, inaonekana mnasubiri siku mkisimama mtawafyeka wengine bila huruma,watu hajifunzi tuu udini, ukabila,ubaguzi etc mwisho wake ni kifo tuu mjifunze kuishi na wengine kwa amani hata kama hamfanani au hamuamini dini moja
  7. K

    Kuna kila dalili Korea kaskazini kuvamiwa kijeshi!

    US hana ujanja wa kuivamia North Korea ,anaweza lakini collateral damage itakuwa kubwa sana na anaweza asikute nchi aliyoivamia maana fatboy anaweza commit suicide na watu wake wote na kuacha sumu za nuclear for the next 500 yrs, Japan na Seoul nao hawatapona fatboy atawafuta kwenye ramani,na...
  8. K

    China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Not that easy mkuu labda miaka ya zamani, China ya sasa US lazima aongee nayo kwa adabu na makubaliano yanayoeleweka, Trump ni vitisho tuu vya danganya toto hana ujanja huo
  9. K

    Tafakuri ya uraia wa wakimbizi

    Chuki yako kwa watutsi itaisha lini mbuzi wewe? vita mlishindwa zamani sana kajenge nchi au katumikie kifungo usitupotezee muda
  10. K

    Nigeria: Mwanajeshi amvua msichana nguo zinazofanana na sare ya jeshi hadharani

    Hukumu kwa sheria ya wapi hii kumvua mtu nguo hadharani?..wapuuzi mko wengi
  11. K

    Nigeria: Mwanajeshi amvua msichana nguo zinazofanana na sare ya jeshi hadharani

    Na wewe una support huu upuuzi? very sad!!
  12. K

    Dodoma: Hoteli tatu zilizo karibu na makazi ya Waziri Mkuu kubomolewa kwa sababu za kiusalama

    Very good point, hawa wanajifanya miungu mtu na hawajali chochote kuhusu ile nchi,ardhi kibao si wakatafute huko kuliko kutumia taxpayer money kulipia compensation za kifala kama hizi, hizo billions zingefanya la maana kwa faida ya wote kuliko huu upuuzi
  13. K

    Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Interahamwe na wahutu wa siasa kali Kagame aliwashinda vita zamani sana rudini kwenu mkatumikie vifungo kwa mauaji mliyofanya sio kuleta propaganda za kichovu kugombanisha majirani ,wanaoamini uzi huu hawajui au ni supporter wa interahamwe
  14. K

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Yes ni good investment na sababu ina very low risk lakini usisahau kuwaambia JF hiyo faida ina TAX na inflation ya TZ inafanya hii biashara kuwa unpredictable na nimesikia corruption in bidding process is rampant big cats wana insider information ambazo zinawaweka in advantage na minimum...
  15. K

    CIA wamekubali North Korea ana uwezo wa kushambulia Marekani kwa nyuklia

    Tatizo ni Seoul (South Korea capital city) ipo karibu sana na North Korea border,wataalam wanakuambia vitu vilivyotegeshwa pale vita ikianza within 30 minutes Seoul with 10 million people itakuwa majivu, hawana ujanja wa kumvamia fat bot na sababu ni hiyo
Back
Top Bottom