Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry.
Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana na adha ya usafiri.
Asanteni.
Shukrani mkuu. Nilikuwa nacheki kama miezi miwili iliyopita naona haijawaki kushuka. Mwanzo ilikuwa 11.7M leo naona 11.9M. Documents hata softcopies au ni lazima upate hardcopies i.e original documents?
Habari kiongozi. Hiyo Forester uliyotoka kulipia ushuru 9.9M ni ya mwaka gani? Maana TRA calculator kwa Forester SH5 2010 inaonesha ni 11.7M.
Pia ningependa kujua Ushuru unalipia baada ya documents kufika au hadi gari ikifike?
Habari wakuu,
Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi.
Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
Habari wakuu
Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.