Recent content by knownless

  1. knownless

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    nchi 32 double glass tsh ngapi?
  2. knownless

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ukiachana na Samsung, LG, Sony, TCL na Hisense, brand ipi ina ubora angalau naweza kuitumia sehemu ya biashara nikiiwasha kuanzia asubuhi mpaka usiku bila shida yoyote?
  3. knownless

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    google tv ina play store ambayo unaweza ku download app na ku install?
  4. knownless

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    naomba kufahamu utofauti wa google tv na android tv.
  5. knownless

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    dah kumbe na wewe ni mkongwe kama mimi, umenikumbusha enzi za DUCE.
  6. knownless

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeangalia Kanda zote hakuna jina, nipo mkoani kwa hiyo ni vigumu labda kama kuna namna nyingineya kuwasiliana nao.
  7. knownless

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeangalia Zones zote hakuna jina.
  8. knownless

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari wakuu, nilituma maombi kwenye zile kazi za MDA & LGAs lakini Shortlist ya Interviews imetoka jina langu sijaliona. Mara zote nimekuwa nikiomba na mara zote nimekuwa nikiitwa lakini kwa mara ya kwanza sijaitwa na sielewi tatizo ni nini. Nikiingia kwenye Account tangu status ni RECEIVED...
  9. knownless

    Hii hapa App inayorusha mechi za Kombe la Dunia na Za Kibongo

    channels nyingi ili uweze kuona mpaka ulipe elfu tatu
  10. knownless

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    Ubalozi mara nyingi waliosoma International Relations au Diplomacy.
  11. knownless

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    kozi ipi ambayo akimaliza tu anapata ajira? acheni kudanganya watu.
  12. knownless

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    kwa hiyo akisoma Accounting akimaliza tu anapata ajira?
  13. knownless

    KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    Nafikiri kama hauna taarifa sahihi za taaluma hii sio sawa kutoa majibu ya kiujumla. Muhusika kama utapata nafasi ya kusoma Public Relations and Marketing ni nzuri sana kwani utaweza kufanya kazi katika Sales, Marketing, Customer Services, na Public Relations au Information Officer. Kupata...
  14. knownless

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye Infinix Hot 10 play au Hot 11 play, iwe mpya au used, weka bei yako hapa.
Back
Top Bottom