Mkuu naunga hoja kwa mikonomyote, angalia leo makamanda Changonya alivyonywea na makeke yake ya kwamba kuficha ushahidi ni kosa la jina. Je akina Mwiguli Nchemba ALISEMA ATATOA USHAHIDI HATA KAMA NI MBINGUNI MBONA HALIKUWA KOSA LA JINAI?
Hakuna kuahirisha uchaguzi wa madiwani arusha???????????????????? Ulikuwa mpango mzima wa wapinzani nzetu akina Nepi na Mguu Chemba.
Poleni sana wafiwa, katika kipindI ihiki kigumu, lakini damu ya walio uwawa iko juu yenu nyie mlio panga mauaji hayo. Via chadema viva!!!!!!!!!!!!!!!
Nategemea na naomba Mungu chichiemu ikafunge kampeni za udiwani Arusha cku hiyohiyo ya jumamosi tuone nyoMi itakuwa kwa Dj wetu Mh. Mbowe au kwa majamba! Arusha udiwani wasahau kama walivyosahau ubunge.
Kumbe mgeni jamvini. Nadhani katumwa na akina NAPE,SENDEKA NA MZEE WA MAMVII lakini 2015 ubunge ni wake. Ukiletewa kazi usiipige kwa sababu wewe ni chadema? MILLYA piga kazi kutokana na taaluma yako na siyo kuogopa magamba.
Teeeh teeeh teeh pamoja na chichiem kuletwa kwa malori hapo kimandolu na mzee wa kujiuzulu ubunge kama video ya lwakatare ni feki lakini cc wamasai na waarusha hatuongozwi na wanawake" edina aende beijing akawaambie masai na larusai haiongozwi na wanawake? Beijing oyeeeeee
Mimi binafsi nilishikwa na bumbuwazi na mpaka sasa siamini, Je ingekuwa mbunge wa chama pinzani ingekuwaje? AU ingekuwa akina Dogo janja tungesema aliamkia bangi ya Kisimiri au lakini kwa sababu ni Gamba tuseme ameridhi kuropoka ovyo kutoka kwa NAPE?
hata cku hizi UDS wanasoma vilaza kama wewe hata hujui ni wakati gani wa kuwakilisha hoja na kwa mbinu gani. Wewe unatumika ndugu yangu Chadema hakichafuki kwa njia hii, kwani ni ya wajanja watupu.
Kamanda Lema, anajua wazi magamba hawawezi kufanya kitu, zaidi ya hila kama hizo za kuwahonga na kuwarubuni madiwani waliotimuliwa hapo Arusha mjini na wale wa Mwanza. Kamanda tunasubiri makeke yako huko mjengoni, Kwani waziri mkuu hapati usingizi na hata kusikia umerudi mjengoni.:bange:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.