Mbowe na Lwakatare kulitikisa jiji la Arusha Jumamosi

Status
Not open for further replies.
Hivi wewe iliishia darasa la ngapi? huu ni mwaka wa pili nakusaidia kuhusu 'h'.

Elimu yangu kama ya Mbowe akili ndogo inaongoza akili kubwa! Ha haa ha, wewe bado unasoma chuo au umemaliza, soma mpaka madarasa yakuangukie lakini mwisho wa siku utaongozwa na DJ Mbowe darasa la saba.
 
Mzee wa Video ameamua kuutumia umaarufu wake wa kurekodi "kisiasa"!!!
Mkuu Mzee wa Video ni Mwigulu Nchemba. Aliandika Script, akanunua zana za kurekodia, akawafundisha akina Ludo kuvitumia akaingia studio nyumbani kwa Lwakatare kwa kutumia M-Pesa.

Wewe mzee wa propaganda yamekufika sijui kipi cha ukweli kisichojulikana.
 
Ni vizuri CHADEMA wakakiri kwamba kwenye sakata la Rwakatare wameshikwa pabaya. Nawatakia kila la kheri kwenye hitimisho la kampeni zao.
 
mapinduzi ya tz yataanzia kazkazn

Hakuna mapinduzi ni mabadiliko ya maisha ya kila mTZ. Na yatakuwa nchi nzima sio kusini, magharibi wala kaskazini. Maisha ya mTZ wa kawaida yatakuwa ya kuridhisha yaani kula, kuvaa, kusomesha, afya, nk. VIVA CDM
 
Ni vizuri CHADEMA wakakiri kwamba kwenye sakata la Rwakatare wameshikwa pabaya. Nawatakia kila la kheri kwenye hitimisho la kampeni zao.
Baada ya kukiri iweje wakati aliyeshikwa pabaya ni Mwigulu a.k.a CCM
 
Fanya utafiti kdg utajua kwa nini wanatakiwa kukiri. Na ikishajua utajua wakishakiri itakuwaje.
 
Nategemea na naomba Mungu chichiemu ikafunge kampeni za udiwani Arusha cku hiyohiyo ya jumamosi tuone nyoMi itakuwa kwa Dj wetu Mh. Mbowe au kwa majamba! Arusha udiwani wasahau kama walivyosahau ubunge.
 
CHADEMA sera zimewaisha mmebuni mbinu ya ku-take full advantage ya bwana Lwakatare?
Nyie majaa wasanii..!

Sasa ulitaka tu-take full advantage ya Nape au Mwigulu? Chadema inawatumia wanachama wake kutekeleza kazi zake wala hatutumii majeshi ya kukodi kama mnavyofanya huko magambani.

Hivi nyie Pro-Chadema Arusha huwa amna kazi za kufanya kila siku nyie na maandamo ya Chadema tu, familia zenu mnaziendeshaje.

Kama hawafanyi kazi wewe ndiye unayewalisha na kuwasomeshea watoto wao? lini umesikia watu wa Arusha mjini wanalia njaa? yani wewe ritz ni bure kabisa kichwani mwako.

Hivi wewe iliishia darasa la ngapi? huu ni mwaka wa pili nakusaidia kuhusu 'h'.

Eti anajiita mtoto wa mfua madafu wa mkuranga wakati hata lugha maarufu na maalum kwa wakazi wa mikoa ya pwani huaijui vizuri.
 
Elimu yangu kama ya Mbowe akili ndogo inaongoza akili kubwa! Ha haa ha, wewe bado unasoma chuo au umemaliza, soma mpaka madarasa yakuangukie lakini mwisho wa siku utaongozwa na DJ Mbowe darasa la saba.
Chuo nilimaliza zamani sana hata kabla ya boss wako Savimbi hajaanza la kwanza, shhhh!!!! Ritz usimwambie mtu nasikia kamati kuu haifurahishwi na vituko vya boss wenu ndio maana ameanza kuungama ya kweli hayo?
 
Last edited by a moderator:
Jiji la Arusha linatarajiwa kuzizima siku ya Jumamosi wakati Mkiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Wilfred Lwakatare watakapohutubia wakazi wa jiji hilo.

Viongozi hao wanatarajiwa kuhitimisha kampeni za udiwani ambapo uchaguzi wake utafanyika Jumapili.

Taarifa zilizopatikana kutoka Arusha ni kwamba maelfu ya wafuasi wa Chadema wanatakiwa kwenda kuwalaki viongozi hao uwanja wa ndege siku ya Ijumaa.

Mapokezi hayo yanatarajiwa kushirikisha magari,pikipiki,baiskeli na watembea kwa miguu.

Mikutano ya Mbowe jijini Arusha imekuwa ikisababisha jiji kusimama kutokana na idadi kubwa ya wananchi kufunga shughuli zao kwenda mkutanoni.

Mpaka sasa tathmini inaonyesha Chadema itashinda kata zote kwa ushindi usiopungua asilimia 80%

Najua itakuwa funika bovu mbayaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom