Recent content by KML

  1. KML

    JamiiForums Tanzania Two Freelancers on Web design and Graphic design NEEDED!

    niPM boss namba yako
  2. KML

    JamiiForums Tanzania Wadau, nawasilisha kwenu nafasi za kazi

    ukishaona mzigo umebandikwa kwenye mstimu au vituo vya daladala, acha kujiangaisha.
  3. KML

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    PM
  4. KML

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba atoa saa 48 kwa Kampuni ya Sparkway LTD kulipa Bilioni 3.4

    sema izi sifa za sasa za viongozi wetu zinasaidia kwa namna moja au nyingine
  5. KML

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    ningekua na uwezo wa kubadili katiba basi wakuu wa mikoa na wilaya wangekua kuanzia miaka 40+
  6. KML

    JamiiForums Tanzania Nani Zaidi Kati ya Mbunge na Mkuu wa Wilaya?,Nani Mwenye Nguvu Zaidi?,Nani Mwenye Mamlaka ya Kweli?

    mwenyekiti wa serikali za mitaa manispaa jiji mkuu wa wilaya mkuu wa mkoa diwani mbunge Kuna umuhim wa ivi vyombo vyote katika eneo moja?
  7. KML

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa wataalamu wa cctv camera na security system

    nenda kwenye makampuni makubwa ya security kama ultimate, warrior, kk security n.k uwa wanavitengo ivyo. wao ndo uwa wanafunga security systems kwenye makampuni makubwa. otherwise jiajili ingia mtaani tafuta dili kama izo, zipo mingi tu.
  8. KML

    JamiiForums Tanzania Harakati za kutafuta kazi: Nimetumiwa ujumbe huu nikajibu hivi, je nimekosea

    duu alafu hawataki ata kuumiza kichwa kuedit izo msg zao, toka mwaka juzi msg ni io io tu
  9. KML

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa heri: Tundu A. M. Lissu hana mfano Bunge lile wala hili

    ukiachana na lisu pia namkumbuka mzee wangu Dr slaa enzi zake katika ubora wake, jamaa ni kichwa sana yule sema sijui figisu figisu gani lilimkamata.
  10. KML

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada

    Easy, Peleka kwa fundi simu kariakoo
  11. KML

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye PC kwenda kwenye smartphone

    Easy, Chomeka simu yako kwenye pc (kwa USB) itakuambia "USB connected" "select to copy files to/from your computer" bonyeza apo itakuja option inakwambia "connect storage to pc" ukiclick apo bas itafunguka kama flash kwenye computer yako. Copy paste madude yako kwa amani. Otherwise sema simu...
  12. KML

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mkuu chadema haikufanya kampeni ya kutosha ya kuelimisha watu juu ya kumpigia kura mtatiro na kusema kwamba wakipiga kwa chadema kura itakua imeharibika..ilo ni kosa lazma walikubali....hakukua na uo uhamasishaji kabisa
  13. KML

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    nafikili hamuelewi...hii fitna ilipigwa na wenyewe uko, maana dada alishaondoa jina na alipanda jukwaani kumnadi mtatiro kwenye uchaguzi. karatasi zilipokuja wakadai eti alichelewa kutoa jina kwaio wakaprint ivo ivo ili watu wapigie chadema na kura ziharibike.. kuna some kind of bao la mkono...
  14. KML

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa NEEMA kwa mwakala wa vyama

    sasa nikipiga hatua 200 nikajikuta nimetokea kituo kingine nifanyeje?
  15. KML

    JamiiForums Tanzania UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    mmmh...mimi napita:llama:
Back
Top Bottom