TODAYS JF-Expert Member Apr 30, 2014 14,738 24,234 Apr 13, 2016 #1 Nilipita na kuona hii kitu inafaa kwa wale msioweza kupata nafasi kuona tangazo hili.
TODAYS JF-Expert Member Apr 30, 2014 14,738 24,234 Apr 13, 2016 Thread starter #2 Ukipata nafasi usisite kunishukuru mdau
C Chief wa kibena JF-Expert Member Mar 13, 2016 686 397 Apr 13, 2016 #3 kazi kwao!!!, wamenifurahisha eti Cheti cha N.A.T
harakat JF-Expert Member Jul 4, 2011 2,887 1,351 Apr 13, 2016 #4 Harufu ya kautapeli kwa mbali NAT badala ya NIT hatari tupu
KML JF-Expert Member Apr 2, 2012 861 133 Apr 14, 2016 #5 harakat said: Harufu ya kautapeli kwa mbali NAT badala ya NIT hatari tupu Click to expand... ukishaona mzigo umebandikwa kwenye mstimu au vituo vya daladala, acha kujiangaisha.
harakat said: Harufu ya kautapeli kwa mbali NAT badala ya NIT hatari tupu Click to expand... ukishaona mzigo umebandikwa kwenye mstimu au vituo vya daladala, acha kujiangaisha.