Recent content by KMay

  1. K

    Hatimaye Fao la Kujitoa Limeruhusiwa.

    Nami nimesikai hivyo wakuu,chezea nguvu ya wananchi!
  2. K

    kuanzisha biashara

    Ndugu wana forum, nataka nifanye biashara ila sija jua ni biashara gani nifanye hapa dar, nina sh milion 3 kama mtaji. Naomba mchanganuo
  3. K

    Falsafa ya Mpenzi wa kweli.

    Kwanza hongera rafiki yangu kwa kuamua kufunguka.. Suala hili hutuchanganya vijana wengi..inapofikia wakati wa kuchukua maamuzi magumu..haswa inapokuja suala la kupata mtu wa kuishi nae. Mimi kwa ushauri wangu. Huyo mwanamke hakufai nasema wazi hakufai..kama ulikwisha muahidi vitu vingi na...
  4. K

    Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    umeeleweka mkuu
Back
Top Bottom