Falsafa ya Mpenzi wa kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Falsafa ya Mpenzi wa kweli.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Annael, Apr 29, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,373
  Trophy Points: 280
  Hivi mpenzi wa kweli utampataje. Is not a jock. Mimi ninatafuta mke wa kuoa, kila mwanamke ninayekutana naye nikimpenda huwa sivungi ninamueleza matarajio yangu kwake kuwa ninataka nimuoe na sitaki mapenzi ya kuchezeana tu. Chakushangaza wengi ukiwatangazia hilo, wanakukwepa na hawakutaki tena. Kuna msichana nimempata hivi karibuni nimetokea kumpenda, amekubali awe na mimi. Tatizo sasa ananipelekesha sana, mara nikimpigia simu anakuwa mkali, ananijibu majibu ya kunya, akisema kitu hata kama kinaniumiza yeye anaonapoa na anang'ang'ania.

  Ninafanya kazi umri wangu 29 yr yeye 21 yr nina mshahara mzuri tu. Na nimemuahidi vitu vingi na vingine nime anza kutekeleza. Nisaidie hivi falsafa ya mapenzi ikoje?
   
 2. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  umejaribu kumwambia vitu ambavyo vinavyokukera toka kwake?
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kaka uko desparate; unawatisha watu, na hiyo biashara ya kuahidi ahidi vitu unnaonekana **** (samahani kutumia hilo neno). Halafu mdada wa 21, ndio kwanza anaanza kuiona dunia, wewe unataka asettle. Tafuta wa 26-30, ndio saizi yako hao. Develop friendship zisizo fake, usiwe mtu wa kujisikia; then say baada ya 4-6 moons ndipo useme intention yako!
   
 4. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,373
  Trophy Points: 280
  Nina muambia halafu anakuwa mkali.
   
 5. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,373
  Trophy Points: 280
  Dada yangu mimi siyo mtu wa kujisikia. Kama ulivyosema labda itanisaidia. But nina rafiki zangu tulio na umri sawa na washaoa tayari wasichana wenye age 20, 21 ,22. But why me?
   
 6. D

  David kivuyo New Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ase we mwombe mungu usiangalie eti rafiki zako wameoa au nn kila kitu kwa wakati wake ukitaka kulazimisha unaweza ukaja jutia maishani.....unabaki kusema ningejua yan calm down kabisa amini wako yupo is the matter of tym only....
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mimi swala la NDOA hapana,
  nahofia sana KUKURUPUKA,4 SURE VIJANA TUWE MAKINI SANA KWENYE SUALA LA NDOA
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  dah, hii mpya... sasa na wewe utampendaje mtu mwenye majibu ya kunya? hakuna kitu hapo, chapa lapa fasta
   
 9. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,373
  Trophy Points: 280
  Thanks brother kwahiyo niachane naye tu asinizingue eti e!
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  davi bhana umenena uhalisia,hapa ndo vijana huwa tunayumba
   
 11. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwanza kuna kitu unakosea inaonesha unakaa mda mfupi sana kutangaza nia ya kuoa, ilikupasa kukaa nalo moyoni kwanza ukiridhika na tabia ndo utangaze nia.
  Falsa ya mapenzi iko hivi
  ....Kwa aliyewahi kuahidiwa kuwa ataolewa na halikufanyika hilo, suala la kukubali ahadi ya aina hyo ni ngumu
  ....Yupo ambaye starehe kwake ndo sala hapo ndoa hujamkovisi bado
  ......Yupo aliye tayari lakini hajiamini mana anahofia matatizo ya ndoa.
  Sasa yakupasa kufahamu huyo wako yuko upande gani
  HUU NI MTAZAMO TU JAMANI
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hop u mean JOKE N N0T JOCK
   
 13. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,887
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na kaunga, she still have a long way to go, hana muda wa kuolewa saiv wakati kuna mambo pengine anataka kufanya (eg.. kujirusha viwanja,night clubs, kubadili wanaume nk) tafuta wa age btn 26-30. she will have settled and ready for marriage.
   
 14. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  chapa lapa!!
   
 15. innovg

  innovg Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  falsafa ya mapenzi:
  1. usiwe too desperate; unadate na mwanamke 21yrs ni mdogo bado anakua hajaona mengi na hiyo ndiyo tabia yao ijue in advance.
  2. usilazimeishe mapenzi; kutoa promises na kutimiza hizo ahadi si lazima mtu aendelee kuwa na wewe zawadi si kigezo.
  3. usipelekeshwe na mwanamke, hunakitu kinachoku-bind kwake, si mkeo, huna watoto nae iweje akupelekeshe.
  4. ongea kama mtu nanfanya kitu kinachokukera, anakujibu hovyo wewe husemi lolote, kulalamika kwako hakukusaidii.
  5. unalalamika ukimwahidi mtu ndoa anasepa;

  • unafeatures za kua mume wa mtu usije laumu watu bure kumbe wewe ndiyo tatizo
  • hao unaowahaidi ndoa wapo tayari
  • umee-date na mtu mwezi mmoja unataka ndoa unadhani atakubali. Ndoa inahitaji kujuana kuna maisha baada ya ndoa.
  • ku-handle mwanamke hakuna formula ni mtu kama wewe ana-interests zake jaribu kuwasikiliza na waelewe.

  7. kua mwangalifu kwenye hizo harakati zako
   
 16. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  usikubali kutoa ahadi ambazo hazitimiziki pia usiahidi tu kuoa mapema yaani ndani ya mwazi unaanza kuzungumzia ndoa acha aseme mwenyewe kwani kwani wanawake wa siku hizi wanahofia sana ndoa kwani wanaona ni kunyimwa uhuru
   
 17. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,373
  Trophy Points: 280
  Thanks nimekusoma vizuri sana.
   
 18. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,373
  Trophy Points: 280
  Asante sana nimekupata vilivyo.
   
 19. K

  KMay New Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza hongera rafiki yangu kwa kuamua kufunguka..
  Suala hili hutuchanganya vijana wengi..inapofikia wakati wa kuchukua maamuzi magumu..haswa inapokuja suala la kupata mtu wa kuishi nae.

  Mimi kwa ushauri wangu. Huyo mwanamke hakufai nasema wazi hakufai..kama ulikwisha muahidi vitu vingi na baadhi ya vitu tayari umeshaanza kumtekelezea..na bado hakuelewi..hiyo ni fika kwamba hakufai na hana nia nawe..pia inaonekana ana uwezo finyu wa kupembea masuala ya mahusiano. "She is not understanding".

  Ningependa kukueleza kuwa ndoa ni mkataba wa kudumu kwa siye wakristo hadi hapo mmoja wenu atakapo fariki..ndoa ni mkataba mkubwa na wenye kurasa nyingi kuliko mkataba wowote duniani. hivyo yakupasa kumuomba Mungu akusaidie kuusoma mkataba huo na kuuelewa vema bila kuruka hata mstari mmoja...kabla ya kuweka saini yako ya kudumu isiyo futika..
  pia ni ngepa kukueleza kwa hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi yako..huyo mwanamke hakufai..na ukitaka kujiaminsha na maamuzi yako ...you must make a decision base on something you have.
  mfano fanya hivi..si unataka kupata mwanamke wa kuoa..tafuta karamu na karatasi... then ulozesha sifa zote za mwanamke ambaye ungependa kumwoa awe nazo...(na fahamu ni ngumu kupata wa sifa zote basi angalau zinazo karibia hata 3/4, na zile ambazo hana jiulize kama unaweza kuvumilia/kuabadilika/kumfanya awe nazo)

  sasa ukisha ziorozesha match them against the features of your current girlfriend...then from there you can make a good decision...fahamu kwamba maamuzi magumu yanahitaji kujitoa muhanga.

  Fahamu kwamba mwanamke lazima awe chini yako..japo nao pia wanafasi ya kuchangia..be a man. A man must act and make hard decisions.

  natumai utakuwa umenisoma friend.

  Asante
   
 20. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Annael Soma tena na tena Signature yako
   
Loading...