Recent content by kmanengo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo aionya serikali mauaji nchini, vinginevyo balaa kubwa siku zijazo

    TUME YA KATIBA: Unafikiri mtu anaweza kuorodheza matatitizo yote ya nchi hii kwa wakati mmoja? alicho eleza Pengo ni kile alicho kiandaa katika hotuba yake, tunajua yapo mengi, wewe pia unanafasi yako unapaswa uelezee matatizo unayo yaona na sio kuanza kukosoa kilicho semwa na mwenzako. Binadamu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CUF: Serikali ilichukulie hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini!

    Kambaya kaongea polojo nyingi lakini hajaonesha Tanzania Daima wamefanya nini, zaidi yeye ndiye anaye endeleza udini kwa kuwafanya waislamu waonekane kama wanaonewa. Katika kampeni za uchaguzi 2010 kuna mchungaji alithubutu kusema JAKAYA MRISHO KIKWETE ni chaguo la mungu mbona hatukusema ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

    Hivi kwa watu milioni 22 selikali itapata bilioni moja au bilioni 264?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

    This is real terrible
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atawaponza wengi!

    chama tawala kinapaswa kijitasmini katika sera zake, kwani watanzania wa sasa niwaelewa hawakubali kubuluzwa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

    Taifa letu halitaendelea kama tutakuwa tunafikiria kuwa dini furani ni bora kuliko nyingine. Imani zetu za kidini tuziweke kando linapokuja swala la utaifa.
Back
Top Bottom