Posho za kifisadi za madiwani wa Chadema Jiji la Arusha zilizokatwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimezaa matunda baada ya jiji hilo kuwa la kwanza kitaifa kwa ufaulu Darasa la Saba.
Ikumbukwe kwamba ukataji wa posho hizo...
Unaweza kusema hivyo kwa kuwa hadi leo hakuna anayefahamu sababu za mkurugenzi mkuu wa tume hiyo ya uchaguzi Dkt Athumani Kihamia kupewa cheo hicho akitokea Jiji la Arusha ambako alifanya vurugu nyingi sana na kupelekea kuundwa tume ya kumchunguza na alikuwa anafanya kazi za siasa zaidi kuliko...
Alipokuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. Kihamia aliyatamka haya;
1. Arusha sio Jiji bora kama inavyotangazwa kwa kuwa vikao vyake vya kamati na baraza la madiwani vimejaa vurugu na uchangiaji wa wananchi katika miradi kupitia kata na mitaa ni mdogo sana, hayo yakirekebishwa linaweza...
1. Alipokuwa Kaliua kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri aliundiwa Tume na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora baada ya kuvunja mikataba ya ujenzi wa majengo ya ofisi za Halmashauri, nyumba za watumishi, Hospitali ya Wilaya na mabanda ya maonesho ya nanenane chini ya mkandarasi SARAM Contractors...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.