Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

Juakalee

Member
Oct 3, 2018
69
17
IMG-20181013-WA0015.jpeg

----------
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Zuberi Kuchauka ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 34,582 sawa na 85.81%.

DpbXL19W4AA219H.jpg
 
Hongereni Liwale kwa kuitikia wito. Hongereni Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa maandalizi mazuri ya Uchaguzi.
 
Ni huru ofcoz, unaona wameshikiwa fimbo hao, au unadhani hao wamekuja mpigia kura mbunge wa chama chenye wabunge malaya wanaonunuliwa

Ha ha ha unatapatapa hiyo ndiyo Liwale ninayoijua hawapendi ujinga mkisusa wanakula mkishtuka wameshashiba. Big up Liwale Big up NEC kwa maandalizi mazuri.
 
Ha ha ha unatapatapa hiyo ndiyo Liwale ninayoijua hawapendi ujinga mkisusa wanakula mkishtuka wameshashiba. Big up Liwale Big up NEC kwa maandalizi mazuri.
Hahaa hivi kuna waliosusaeee, mbona wapiga kura wapo wa kutosha tu? au waliosusa hawana watu?
 
Kama sijakosea kesho ni siku ya kumbukumbu kwa Taifa letu ya Baba wa Taifa hivyo I think NEC imetoa fursa hiyo kwa watanzania hasa wa Liwale kuadhimisha na uchaguzi ufanyike leo hii ni Busara pia.
Mdau umenena. Kwa kuwa siku ya Uchaguzi siyo msahafu inaweza kubadilika kutokana na matukio. Kwa busara ya Tume yetu ya Uchaguzi wana Liwale sasa kesho watapata fursa ya kufanya maadhimisho ya kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa. Big up NEC!
 
Kwani wewe uko wapi? Umewaona 15 au unafuata mkumbo? Ya kuambiwa changanya na ya kwako ndugu, kusoma hujui hata picha washindwa kutazama? Jiongeze kidogo!
 
Back
Top Bottom