Recent content by kkkk

  1. K

    Chagua mtu sio chama

    hakika watu wanachanganya mafile,hivi mtu anatokana na nn?,au ndiyo presha mbona bado dawa inakuja soon!!!,memory zinaanza kusoma ndivyo sivyo? sawa mkuu
  2. K

    Hermani Kapufi, Mkuu wa Wilaya ya Same, anaiharibu Same

    Hakika yaonekana unaitambua vyema hiyo wilaya mkuu
  3. K

    Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

    Daaah kweli maeneo muhimu hayo,up up up!! No kuangushia
  4. K

    Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

    Hajaiva ngoja siku akitoka atakuwa ameiva napafahamu sana hapo
  5. K

    Tuliopangiwa JKT Ruvu pakoje

    Safi sana kiongozi afungue moyo!! Akaone namna ya kulitumikia taifa!!!!!
  6. K

    Tuliopangiwa JKT Ruvu pakoje

    Ww nenda kwa taarifa zilizopo ni shumbwela tu,lkn wepesi ni jambo zuri sn kila lakheri!
  7. K

    Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    Uzuri wa ngoma ingia uicheze ndg,kamwe usiogope jkt.kila jambo ili ufanikiwe lazima nafsi ilikubali hivyo wewe nenda ukajionee mwenyewe.
  8. K

    Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    Umfundishe na chenja za nguvu na awahi vitengo!!! Aende shamba dunia
  9. K

    Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

    Mimi nakushauri uelekee jkt,kwani inajulikana kuwa mifumo ya nchi kila uchwao inabadilika.Hivyo yaweza kukusumbua mbeleni,jambo lamsingi ufungue moyo!!!!!.
  10. K

    Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    Njia ya mwongo ni fupi,ipo cku watajua kuwa dunia ya leo uongo ni adui asiyevumilika.wengi wao wanajitia upofu ilihali wanayo macho!!!! Inasikitisha kweli.
  11. K

    Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    Jambo hili wanatakiwa waweke wazi mapema,nashangaa sn watu wanazo sifa hadi za ziada(jkt)wameachwa!!
  12. K

    Ajira ualimu awamu ya pili kutolewa tarehe 20

    Wafanye wepesi maana ni tabu tupu!!
Back
Top Bottom