Recent content by Kizungo

  1. K

    Jk wa same magh! Akwea klm usiku huu kwenda u.s.a- ni jonas kadeghe mgombea ubunge!

    Hatimae kadeghe akiaga wanachadema kutoka Same magh, waliomsindikiza KIA jioni hii amesema ziara hiyo alpaswa akae marekani mwezi mmoja, ila hatazidisha wiki mbili atarudi ili aendelee na kazi ya kuimarisha chama jimboni Same magharibi! waliomsindikiza ni baadhi ya viongoz wa chadema kata za...
  2. K

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Waibe kodi zetu wakajenge hata mbinguni, ila siku inakuja hayo mahekalu yote yatataifishwa yarudi kwa uma! ivi mawazr wakuu na marais wakfka mia au zaidi tuendelee kuwajengea tu? ALONACHO AONGEZWE! ASIE NACHO ANYANG'ANYWE KIDOGO CHAKE!
  3. K

    Namba mpya za pikipiki 25Million nchini, Serikali igharamie !

    Wanajamvi watanzania tumekua watu wa kuitika ndio mzee kwa kila jambo hata kama linatuumiza! Idadi ya pikipiki nchini ni 25000000 ambazo zitaingiza mabilioni ya pesa kwenye zoezi la kubadili namba zitofautiane na za magari, kwakuwa wamiliki wote wa pikipiki walishalipia namba za awali...
  4. K

    Sitakula siku 3 kusupport matembezi ya vijana wa magunia

    Hawa ndo wanaotakiwa kwenda ikulu!
  5. K

    Sitakula siku 3 kusupport matembezi ya vijana wa magunia

    Hawa ndo wanaotakiwa kwenda ikulu!
  6. K

    Sitakula siku 3 kusupport matembezi ya vijana wa magunia

    Wakuu! Kumbukeni yale mapigo ya misri enzi za farao! kumbukeni juzi rais bin aly wa tunisia, alipomdharau machinga mmoja tu, dola yake ilisambaratka na leo anaishi kama digidigi ughaibuni! Utawala wowote unapotaka kuanguka, mungu anawapga upofu, kila wafanyalo huona wako sahih! ukweli...
  7. K

    Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Mkuu CHAKAZA! Kuna picha ya DIAMOND anacheza uchi matako wazi ukumbi wa dar live, alisaula hakua hata na boxer! ipo fb kwenye wall ya ELIZABET MAIKO, Lulu wa kanumba! Mwenye uwezo wa kuiapload hapa aiweke JK aone wahuni anaowapa hadhi ya kuingia ikulu walivyo!
  8. K

    Wanaotembea kwenda Ikulu wamevaa magunia

    Hofu ni je JK atakuwepo? mana Colambus hakawii kuruka nnje! asipowapokea magogoni leo, laana iwe kwake na vizazi vyake hata cha tatu! GT WOTE TUSEME AMEN!
  9. K

    Mwanamke mwenye sifa hizi ajitokeze nimuoe hata leo

    Tnx wadau! let me sleep, kwa imamu?
  10. K

    Mwanamke mwenye sifa hizi ajitokeze nimuoe hata leo

    bby boy mwanamke ambae hana mtu labda awe bikra! ckutaka bikra mwenye izo sifa, najua ni ngumu kumpata! nataka hata aliezaa ila wasizidi watoto wawili!
  11. K

    Mwanamke na mwanaume wanasana guest wakiwa wanavunja amri ya sita mitaa ya Bunju

    Huo unaitwa usinga wa m mbwa, ambae haamini aende HANDENI KWAMSISI
  12. K

    Mwanamke mwenye sifa hizi ajitokeze nimuoe hata leo

    Naona niwape fne! sms zote ntajibu!
  13. K

    Mwanamke mwenye sifa hizi ajitokeze nimuoe hata leo

    Gangster! mwambie huyo anaejiita SWEETIE, mimi kizungo niko serious xana! na cjakosea lolote kwenye uandishi ila nimetumia FASIHI ILI NIPATE MWANAMKE KICHWA! big up!
  14. K

    Mwanamke mwenye sifa hizi ajitokeze nimuoe hata leo

    american dream! kama unaona aibu nipigie au andika sms, namba yangu nimeweka hapo kwa maneno, nimechanganya kiswanglish maksudi! Nimechoka upweke, ctak mchepuko, nataka mke really! NB.- MIMI ni mtu maarufu xana so dame ajiandae kwa lolote
  15. K

    Mwanamke mwenye sifa hizi ajitokeze nimuoe hata leo

    Wanajamvi hakuna mzaha. Awe na miaka 30 mpaka 43! Sihitaji anizalie nna watoto wawili wanantosha! Awe mnene mwenye mgongo ambao kila ntakapokuwa nae hata wanawake wenzake watatamani hilo tako lake. Ufupi au urefu cjal, Awe mwenyeji wa mikoa jrani na kilmanjaro! awe tayari kuwa mwislam, hata...
Back
Top Bottom