Recent content by Kizitonga

  1. K

    Gari inauzwa kwa bei ndogo.

    Heshima kwenu wakuu, Gari aina ya Mitsubish Pajero inauzwa,ipo Dar na sifa zake ni kama ifuatavyo: -Mileage 100,000km -Manufacture year 1994 -Engine capacity 3500cc -Automatic Gari hii haijawahi kupata ajali Ilikuwa inatumika mwezi mmoja tu ndani ya mwaka(muda wa likizo) Ina vibali Vyote. Bei...
  2. K

    Natafuta Marafiki wa kike

    Hellow, Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Wenye umri wa miaka 17-21. Mimi ni wa kiume(ME) Aliyetayari ani PM namba yake kwa mawasiliano zaidi. Asanteni.
  3. K

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    Hakuna NGO ya kipuuzi kama ile,ukienda wanakunyang'anya na simu ili usiwasiliane na kwenu,walinipigisha kazi kama mtumwa kwa muda wa miezi mitatu,unalala sehemu isiyo na usalama,unabaguliwa (mzungu akiumwa wanamtibia haraka,mbongo akiumwa mpaka akaribie kufa),hupewi hela yoyote na manyanyaso...
  4. K

    Translator wa kiingereza kwenda kiswahili

    Nipigie 0766270231
  5. K

    Kazi/tender

    Habari zenu wakuu,napenda kuomba kwa member yeyote mwenye uhitaji wa mambo yafuatayo ili awasiliane nasi, Kozi ya lugha ya kiingereza,kozi ya lugha ya kiswahili kwa wasiojua lugha hiyo.Kwa wakaazi wa Dar es salaam utafuatwa kokote na kwa muda unaotaka isipokuwa usiku wa manane, Pia tunatoa...
  6. K

    Kama wewe ni graduate soma hii

    Nami niko tayari kaka, ni graduate wa medical sociology
  7. K

    Natafuta Kazi ya Udereva

    Habari zenu wanajamvi. Mwenzenu natafuta kazi ya Udereva wa Magari madogo,kazi kama kuwapeleka na kuwachukua watoto shule,safari za mtu binafsi,kumwendesha Boss,kubeba mizigo au gari la biashara,nina uzoefu wa miaka miwili kwenye udereva.Nina Leseni mpya class B na D.Elimu yangu ni kidato cha...
  8. K

    Lap top inahitajika

    mkuu ninayo dell yenye hdd 160 kwa 350,000 tu
  9. K

    yaliyonikuta leo

    Daah hao jamaa na mimi walinitumia hizo document but nilivoona sharti lao moja tu nikagaili. Nanukuu,"HUTALIPWA KAMISHENI YA SHILING 5000 KAMA UTALETA TAARIFA ZA MTU AMBAYE HAWEZI KULIPIA SHILLING 25000 KAMA ADA YA KUJIUNGA" nikawaona longolongo
  10. K

    Kwa wale wenye matatizo ya vitambi na unene changamka

    Habari zenu ndugu wana Jamvi! Tunatoa dawa na ushauri Kwa wale wenye matatizo ya vitambi na unene, Mteja atakuwa chini ya uangalizi mpaka hapo tatizo lake litakapokwisha, Huduma zetu zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa kama ada ya uanachama ambayo itamwezesha mteja kuchukua dawa na huduma...
  11. K

    Mwalimu wa lugha ya kiingereza anapatikana!

    Salaam wana JF Kwa mtua ambaye anahitaji mwalimu wa kiingereza anapatikana, ana uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu katika ufundishaji akitumia mbinu mbalimbali za kumfanya mwanafunzi aweze kuongea,kuandika na kusoma kiingereza kwa muda mfupi. Anaweza kukufundishia nyumbani kwako na kwa muda wako...
  12. K

    Laptop ya 500,000

    dell e6400,hdd 160,ram 2gb,webcam,wifi,2.4ghz duo core,adapter,dvd r,(used) bei 400,000
  13. K

    Pata laptop kwa 350,000 tu

    Nipo dar mkuu
Back
Top Bottom