Mwalimu wa lugha ya kiingereza anapatikana!

Mwalimu wa lugha ya kiingereza anapatikana!

Kizitonga

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
32
Reaction score
0
Salaam wana JF
Kwa mtua ambaye anahitaji mwalimu wa kiingereza anapatikana,
ana uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu katika ufundishaji akitumia mbinu mbalimbali za kumfanya mwanafunzi aweze kuongea,kuandika na kusoma kiingereza kwa muda mfupi.
Anaweza kukufundishia nyumbani kwako na kwa muda wako kwa wale ambao wanabanwa na kazi ofisini.
Ni kwa rika zote na hata watoto wanaweza kufundishwa wakiwa hapo hapo nyumbani.
Kwa anayehitaji aniPM kwa maelezo zaidi.
Shukurani kwenu wote

Angalizo:Ni kwa wakaazi wa Dar es salaam tu
 
Back
Top Bottom