Translator wa kiingereza kwenda kiswahili

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Natafuta mtu anayeweza ku-tafsiri(translate), document ya kiingereza kuwa kiswahili. Ina kurasa kama mia moja, ningependa kujua pia kwamba inakuwa ni gharama kiasi gani.
 
dili hili,this is ze documet ze translate ze pay me big money
 
...ok zis zat yes yes. Wea aa yu...endi hau iz yu pei mach....
 
Mtafute mzee huyo anitwa Muhammed mwinyi yule anaye fanya mahojiano kipindi cha TBC ulimwengu wakiswahil 0713480394
 
Natafuta mtu anayeweza ku-tafsiri(translate), document ya kiingereza kuwa kiswahili. Ina kurasa kama mia moja, ningependa kujua pia kwamba inakuwa ni gharama kiasi gani.

Inategemeana na kazi na kazi, eg mkataba wa kazi, HR policy na kitabu cha kawadia bei inakuwa tofauti.All in all mimi ntakufanyia kuanzia laki mbili
 
Natafuta mtu anayeweza ku-tafsiri(translate), document ya kiingereza kuwa kiswahili. Ina kurasa kama mia moja, ningependa kujua pia kwamba inakuwa ni gharama kiasi gani.

Nipo! Gharama inetegemea na aina ya matini yenyewe, kama ni ya kawaida au ya kitaalamu. Matini (text) ya kitaalamu (technical) huchajiwa bei kubwa zaidi.
Bisansaba njoo tule kichwa huku.
 
Last edited by a moderator:

Nimekuja mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom