Recent content by kizito wa putin

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tambara: The day of the Jackal (2024)

    Zile action za mauaji sanasana Ile ya kudunguliwa kwenye maji akili mingi sana na ndy utamu wa hii season ulipo, kama bado ujaiona tafuta hili tambala
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tambara: The day of the Jackal (2024)

    Kati ya movie ambayo niliikubali ni hii, isipokuwa tu mambo ya ushoga nowdays karibia kila movie lazima yawepo daaaah, wakubwa wanatumia nguvu kubwa Sana kutushawishi
  3. K

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    🙏🫰
  4. K

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    Bado tu 🚶
  5. K

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    Bado tu 🚶
  6. K

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    Bado tu 🚶
  7. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Simu zao zinachukua MDA kupokea ni kupiga mara Kwa mara na kuwa mvumilivu, Mimi niliwapigia ilichukua kama DK 5 Ila walipokea, kuna jamaa nae aliwapigia ilichelewa lakin walipokea, chamsingi ni kuwa mpole tu, alafu tumia zile namba za kiofisi walioweka pale Ile unaanza+26 Yan sio ya mitandao hii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Agano Jeusi

    Nothing to show 🏃
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme kutoka China mpaka Dar es Salaam

    Cjajua Ila naskia kariakoo ndy wanauza
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme kutoka China mpaka Dar es Salaam

    Nataka kuagiza hzi pikipiki za umeme zinazotamba kwa sasa, kibongo bongo naskia zinatembea kwny 1.5m ila nimejaribu kuangalia huko China zinapotokea naona zinarange kwenye 260$ kupanda juu hadi 1000$ ambapo mimi nataka kucuhkua tu hapo 260$-350$ sasa wasiwasi wangu ni kuhusu hizo kampuni zenyewe...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu wa Uber na Bolt

    😁😁😁 Hampo Tz bhn
Back
Top Bottom