Recent content by Kiyoya

  1. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    unaogopa nini
  2. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

    Ukristo unatokana na injili ya Kristo .....je ni kweli siku ya sabato tusimtoe punda shimoni...huyo mwandishi anatuandikia ushirikina
  3. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Mbona unatulisha maneno Wakristo dhidi ya uovu wa Uyahudi na Marekani. Ni vema kujua katika macho ya nyama Israeli ni nchi tu ipo pale ME.Na kiroho Israeli ni wale wote wanaomkiri Yesu Kristo kama bwana na mwokozi wa maisha yetu...Hii ndo Israeli ambayo haipigwi konzi.Hayo mengine ni...
  4. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Gender Doesn’t Lead, Brains Do

    Nchi ni familia ina baba na mama.
  5. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

    Kwa nini zisiwe za kitutsi
  6. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    watu wana hali duni ila wanatoka kwenye nyuma nzuri......nilitegemea kuona maendeleo ya viwanda...kumbe wanamtegemea Yusuph.
  7. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    ...lami na umeme kijijini ni matokea ya uhujumu uchumi.....kuna siku atakuja Pharao asiyemjua Yusuph... kwa mgeni huko Kilimanjaro na derivative sio kwa kuishi.
  8. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwa hiyo ukipangiwa kazi Usangi unaenda fresh tu si ndiyo
  9. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Zele hakufika kwenye ukumbi ..kaishia ikulu ya Turkey
  10. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mwanga kesho tunaenda kusimamisha dunia kumwaga Mzee wetu Msuya

    Bahati nzuri niko huku....ujumbe wangu ...ATAKUJA FARAO ASIYEMJUA YUSUFU...
  11. Kiyoya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

    Kwa hiyo unamaanasha CHADEMA hawana wanasheria.
Back
Top Bottom