Recent content by Kiwindo

  1. K

    Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Wapo wengi sana.. Heshima ya kazi itarudi!
  2. K

    Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

    Dah.. Umenifanya nicheke sana mkuu, Humu kuna raha sana kiukweli.
  3. K

    CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Nyie mmerongwa na nani? Baba yenu magufuli alisema mabadiliko yataiingiza nchi kwenye machafuko, na akatoa mfano wa Libya walitaka mabaliko hadi leo hii hawana amani... Mmesahau mara hii au mnanyweshwa viroba kwanza lumumba ndo mnaingia hewani? Acheni kuiga kila kitu mnajishusha sana na...
  4. K

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Ni mvivu wa kufikiri, kwani kwa mazingira ya ajali na mwonekano wake utakua mtu wa ajabu sana kuhoji kwanini mtu kafa... Ni Mungu amehamua kumwadhibu kwa kauli zake, Ogopa sana kumfanyia mtu ubaya asikulipe akushtakie kwa MUNGU...
  5. K

    Zitto Kabwe: Nina tofauti na Slaa, ila nitajitokeza kumsaidia kwenye hii 'vita' mpya

    Zitto angeelekeza nguvu kutetea ubunge wake kwani mbele ya kaburu na nguvu ya ukawa cjui atatokea wapi.. Kisiasa amepotea hata kujifanya kumtetea slaa kimsingi ni kupoteza mda! Ngoma ulivuma sana imepasuka hata ikishonwa hatarudi kwenye ubora wake wa zamani..
  6. K

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Hata shetani alikua ni Malaika kabla hajaasi...! Sasa huwezi kuendelea kumsifu shetani kwa kofia ya malaika, Unaweza ukajijengea heshma kwa miaka mingi na ukaibomoa ndani ya nusu saa...! Ndicho kilimpata Dr Slaa, ajilaumu mwenyewe kwa kuelemewa na mapenzi kuliko chama chake alichokipigania kwa...
  7. K

    Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Kuwepo JF siku nyingi sioni kama ni hoja ya kuwaona waliongia karibuni wajinga...! CCM kwanini mmechanganyikiwa kiasi hicho? Badala mjibu hoja mnakimbilia matusi mnawafanya watu waamini mmechoka..!
  8. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Dr slaa ni heri angebaki single tu, yule mama anampeleka speed mbaya na ni mvurugaji..
  9. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Ukweli ni kwamba alimpenda mama kuliko chama...!
  10. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Mliambiwa ipo siku chadema itawaashangaza wengi... Mkabeza tulieni mnahangaika nn? Mlijisahau sana..
  11. K

    Yafuatayo ni majina yenye bahati,mvuto na hodari 100% ktk suala zima la ndoa na sexy pia

    kama ni mtu mzima, pengine ameingia kwenye mahusiano na miaka 40 lazma aongee pumba za hivyo.
  12. K

    Yafuatayo ni majina yenye bahati,mvuto na hodari 100% ktk suala zima la ndoa na sexy pia

    We huna habari kuna majina yapo dini zote mbili? mfano ni Rehema na Sofia, hapo umemtaja Sofia kwa upande wa kiislam, sasa sofia wa kikikrisho umweka upande gani? Hizo tafiti zenu cjui mnafanyia dunia gani kisha mnakurupuka mnakimbiza kwenye mitandao...! Akili ya kitoto sana jina halina uhusiano...
  13. K

    Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

    We mwache aone vinaelea afikiri amekuja na mafuriko ya msimbazi...!
  14. K

    Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Ushauri ni wa busara huyo mama aufanyie kazi..! kama ndo tabia za huyo bwana huenda huyo mkewe marehem alikufa na siri nzito sana moyoni kwani hiyo tabia cyo ya ghafla
Back
Top Bottom