Recent content by Kiwete

  1. K

    Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

    Mkuu we unamfahamu kweli
  2. K

    Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    Watu waliendelea kuambukizwa na kufa kwa ugonjwa huo ambao pengine wasingepata na kufa.Mbinu alizotumia zilikuwa za hovyo sana kukubali watu wake wafe hadi kinga itaporejea.Ni jambo jema sana naye ilimuondoa ili aungane na wahanga wengine wa uamuzi wake wa ovyo
  3. K

    Tuliposema hatukueleweka. Sasa tumekuwa wahitaji

    Mimi nazungumzia mchele wangu,jasho langu tu.Nisipangiwe pa kuuza.Hayo ya mataikoni endelea nao
  4. K

    Tuliposema hatukueleweka. Sasa tumekuwa wahitaji

    Hakuna mchele wa plastic ni uvumi tu usiokuwa na ukweli.Wewe uliuona?
  5. K

    Tuliposema hatukueleweka. Sasa tumekuwa wahitaji

    Si mali yao?.Nani anakuuliza kuhusu mshahara wako unavyotumia?.Tuacheni!
  6. K

    Tuliposema hatukueleweka. Sasa tumekuwa wahitaji

    Mbona bidhaa zingine nyingi zinatoka nje hamsemi?.Acheni wakulima wafaidi jasho lao
  7. K

    Tuliposema hatukueleweka. Sasa tumekuwa wahitaji

    Nenda kalime wako ukoboe mwenyewe.Mchele wangu sio mali ya umma!Nauza nitakako
  8. K

    Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

    Hata Mandela alisimulia madhila aliyopata kule Robben Island gerezani.Ni sehemu ya mapambano.Ni ishara ya mhanga aliyekuwa mstari wa mbele katika kupambana na dikteta.maelezo yake yanahamasisha tusiwe waoga tuwe tayari kumkabili dikteta
  9. K

    Uongozi wa Awamu ya Tano, Shule Kubwa Kwetu

    Tunaopenda haki hatukereki asilani.Watu wapige kelele bila kuchoka dhidi ya uovu ili kuzuia wote wenye matamanio ya kuua,kutesa,kunyanyasa Watanzania kwa kutumia siasa wafute mawazo hayo.Never Again
  10. K

    Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

    Kuna muda Unafanya watu tukose cha kujujibu zaidi ya kukutukana!.Unataka ushahidi wa CJ kuwa stooge na kibaraka wa JIWE?.
  11. K

    Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Kama yeye alishangilia jaribio la kumuua kwa nini asifurahie kifo cha aliyetaka kumuua?.Wengi tulifurahi
  12. K

    Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

    Huyo muuaji,mkabila na mwizi haramia unasemaje?.Mmejazana kwenye social media zote kuficha ushenzi anaofanya DRC kupitia M23 na utesaji wa raia wake haswa wahutu.Mara sijui makanisa,mara hotuba za kujisifu nk ushenzi tu
  13. K

    Jeshi la Magereza kuanza kuwalipa wafungwa Nchini

    Magereza sio sehemu ya concentration camps.Ni sehemu ya kurekebisha tabia za wafungwa na sio kuzalisha mali.Ndo maana Zanzibar wanaita vyuo vya mafunzo.sio sahihi kugeuza wafungwa kuwa watumwa kuzalisha mali.Adhabu ni kunyimwa uhuru tu inatosha sio kufanyishwa kazi kama punda eti wajilishe.Siku...
  14. K

    INAUZWA Sofa set ya watu 6 inauzwa 200,000

    Simu tafadhali
Back
Top Bottom