Recent content by Kiwarhoapandenga

  1. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
  2. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Wengine wamejiongez a wana maeneo yao mbalimbali katikati ya Jiji na Wilaya sio kwa mateso haya mbezi parefu
  3. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

    Maisha anayoishi Binaadamu mwenye Mwili na Damu ni siasa ukiweza litambua hilo utakuwa umepanuka kifikra toka kwenye box
  4. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufahamu unapojiandaa kubeba Ujauzito

    Angalao leo umeleta uzi wa maana wewe kila siku majanga tu misiba
  5. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya konokono (Snail Farming Business EXPOSED)

    Hapo kwenye magimbi nakuunga mkono na miguu nasikia ni boonge la dili kiroba kidogo mpaka laki na hamsini inafika
  6. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kurudisha fadhila, namtafuta mtu huyu

    Dada utampata vuta subra
  7. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Wasomalia na Waethiopia wapi ni wabaguzi /racist kwa Waafrika wenzao /to their fellow black countrymen?

    Hao wengine wanaowana hata Israel kuna jamaa kaowa huko na watoto juu
  8. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

    Unashangaa hicho cha shimo kuna wengine hata sink cha kuchuchumaa hawajawai kukitumia
  9. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

    Ndio tusaidiane sasa huyu mwali angempa bei gani na mimi nimejiuliza hilo swali
  10. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanahabari Raphael Waryana na Rafikiye John Dotto wafariki Dunia Muhimbili

    Ushaambiwa wanahabari ,marafiki halafu uanauliza nini akili zakuambiwa changanya na za kwako
  11. Kiwarhoapandenga

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

    Vipi ndoa ya Trump
Back
Top Bottom