Ndg, kwa grounds hizi mambo ni tofauti sana.
Mkulima wa kuvuna kiasi hicho atakuwa amelima ekari ngapi? Ametumia mtaji kiasi gani kuandaa shamba, kupanda, kumwagilia/ kudhibiti ukungu au maji ya mvua, palizix2, kuvuna na kuhifadhi? Bado mitaji, zana za kilimo (tractor, plau, etc), mbolea...