Recent content by kiwambe swalehe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, dhambi ya unafiki majibu yake ni hapa hapa duniani

    kama huwezi kumsema lowasa kwa mazuri ni bora ukae kimya maana hujui mambo ya kisiasa yatakavyokwenda
  2. K

    JamiiForums Tanzania WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    wasiomtaka lowasa wasitupotezee muda kwa kumjadili wamjadili mgombea wao magufuli
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

    lowasa bado ni jembe na atabaki jembe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio waliopiga msumari wa mwisho jeneza la Lowassa

    member ni mbulula tu,ccm hawapendi kiongozwa na wachapa kazi kama lowasa watakiona cha mtema kuni wajinga hao.
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM kubalini tu Lowassa kawashika kubaya

    we acha waongee lakin lowasa atawashangaza kwa ushindi mnono
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM kubalini tu Lowassa kawashika kubaya

    umeishasema ni tuhuma,jambo ambalo halina uhakika,mahakama ziko waz mpelekeni acheni kelele zisizo na tija kwa lowasa rais wa tz ajaye
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kunani kwa tundu lissu

    hawezishinda tena kwakuwa amepoteza muda mwingi kufanya fujo bungeni.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tusiwasikilize wanasiasa wanaowagawa Watanzania na kutumia fedha kutafuta madaraka...

    hayo ni majungu tu kwa Lowasa,muacheni jembe apite,mnatakiwa mtumie akili mnapoongea vitu kuhusu Lowasa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi Maalum Cha Lowassa Channel Ten

    acheni majungu yasio na tija ufisadi wa Lowasa uko wapi? Lowasa ndiye anayefaa kuingia ikulu kwa wakati huu,kuweni na fikra za mbali ndugu wananch
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nini cha kufanya kwa waliokosa nafasi za kujiunga Kidato cha Tano

    wahi xana kuomba special diploma udom maisha mazuri xana karibuni xana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu kuanza November

    bora iwe hivyo tupige kura kabisa home
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza kuaga mikoani, Jumatano ataanza Arusha

    kwa mtu anayejielewa hawezi kuponda awamu ya JK kwa kuwa ndiye aliyetufumbua mpaka tukafahamu nchi inakokwenda kupitia kupanuka kwa demokrasia nchini
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza kuaga mikoani, Jumatano ataanza Arusha

    kafeli kivipi wewe,hivi huna milango ya fahamu kukuwezesha kuona na kusikia aliyoyafanya?mbona mnakuwa na upinzani wa kijinga?ukweli nikwamba JK kafanya mambo mengi makubwa kuliko awamu zote zilizopita
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Songea: Lowassa apigwa pini, awekwa mbali na Kikwete

    yule JAMAA hakamatiki kabisa na sidhani kama kuna kada atakayemsumbua ndani ya CCM
Back
Top Bottom