mkuu tatizo ni nini unajua?
1, lowasa mwenyewe hana akili za kujiongoza
2,mshauri wake kingunge unatengemea nini hapo?
3,washauri wake wanamuigiza choo cha kike nae anakubali kukaa,na kwa kuwa anabaka siasa nae anakurupuka siasa hazijui.
Naona anaamua kuonesha jinsi kampeni zake zilivyokuwa
Amehangaika sana Lowasa, kwa nini hataki kufuata utaratibu Kampeni za nini?
Kuna kitu wameshtuka si bure!!! Kama kweli walikuwa na mpango wa kufanya hivyo basi naona washauri wake wamepania kumpa enough rope vile.....
Nina matumaini na ile hotuba ya dakika moja na nusu aliyoisoma wakati wa kurejesha fomu za udhamini itachezwa mara kadhaa ili umma ujiridhishe kuwa huyu anastahili kuwa mkuu wa nchi. Yaani mkuu wa nchi mtarajiwa hawezi kukariri hotuba ya dakika moja na nusu angaa afanye usanii kidogo na kuzuga kuwa anayozungumza yanatoka moyoni mwake na sio aliyoandikiwa na mzee Kingunge! Mzee wa Matumaini anatisha!
CCM hebu angalieni jinsi LOWASSA kwa makusudi ameamua kuanza kampeni wakati chama hakijaruhusu