Recent content by Kiwalani

  1. Kiwalani

    Awamu ya pili ujenzi reli ya kisasa kuzinduliwa Februari

    Wangefanya njia mbili all the way
  2. Kiwalani

    Awamu ya pili ujenzi reli ya kisasa kuzinduliwa Februari

    Hii SGR itakua na njia mbili (kwenda na kurudi), au njia moja kama reli ya kati ya sasa hivi?
  3. Kiwalani

    Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Siyo kweli jamani .. ingawa kulikua na daily variation (range) ya TZS +130.00
  4. Kiwalani

    Songwe Airport kuwekwa taa kuongoza ndege usiku, Ethiopia Airlines yakusudia kwenda Mbeya

    Wakuu - Emirates inasafiri kutoka Houston, Texas kwenda Dubai, UAE kila siku, nonstop .... distance ni zaidi ya Nairobi - New York ... umbali wa Houston - Dubai ni 13,140 km. Emirates wanatumia Boeing 777-200LR (LR stands for Long Range).
  5. Kiwalani

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Iko hivi, mwandishi kaeleza kwamba hilo kaburi liko mstari wa mwisho kabisa; ndiyo maana hakuna makaburi mengine yanayoonekana beyond makaburi yalio mstari wa Ballali. Unaweza kusema, sasa ni kwa nini asipige picha kutoka upande ule mwingine, ili makaburi mengine yaonekane .... jibu ni kwamba...
  6. Kiwalani

    Watanzania na biashara ya ukahaba nchini China

    This is really sad ..... jamani mlioko huko China please wasilianeni na ubalozi wetu hapo Beijing ili hawa mabinti wapate msaada!
  7. Kiwalani

    Kurudi kwa Lowassa?

    Mhe. Bernard Membe.
  8. Kiwalani

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Sidhani kama Rais JK atakubali barua ya Kagasheki kujiuzulu; huyu mheshimiwa ni mchapakazi sana!
  9. Kiwalani

    Muhongo: Mengi anamiliki ardhi yenye ukubwa sawa na mji wa Moshi mara 80

    Wakuu: Utafutaji wa hizi resources (madini, mafuta na gesi) unahitaji uwezo wa kipesa, pamoja na uwezo wa kitaalamu (financial and technical ability). Nilivyomuelewa Profesa Muhongo ni kwamba: 1). Serikali imetoa vitalu vingi vya madini kwa wazawa, lakini imegundua kwamba wazawa wengi hawana...
  10. Kiwalani

    Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Dah! Wewe Le Mutuz vipi tena mkuu ...... ina maana wewe huwezi kuongozwa na unayemzidi elimu? Hata Marekani, Obama anaongoza wengi tu waliomzidi elimu, including maprofesa wa Havard, Stanford, Yale etc; btw unamkumbuka wazri mkuu wa zamani wa Britain akiitwa John Major ..... ni high school drop-out!
  11. Kiwalani

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Nape: Sasa hapa ndipo serikali ya CCM inatakiwa kuonyesha uongozi; waasisi wa Muungano, Nyerere na Karume waliunganisha nchi mbili kwa nia njema kabisa, tatizo ni kwamba muungano ulizaa serikali mbili, na hivyo kuufanya kuwa dhaifu ... sasa mnatakiwa kutupeleka hatua ya mwisho .... serikali...
  12. Kiwalani

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Wakuu: Hakuna sababu ya kuiga toka kwa nchi yoyote. Waasisi wa muungano (Nyerere na Karume), walikua na nia njema, wakatuletea muungano wa nchi mbili, lakini muundo wake (wa serikali za Muungano na Zanzibar) unaonekana kuwa na kero za wazi. Sasa ni wakati muafaka kwa Jakaya Kikwete kuonyesha...
  13. Kiwalani

    Rais Kikwete afanya uteuzi wa mabalozi wapya kuziba nafasi za balozi zilizo wazi

    Mkuu Bukyanagandi; nakubalina nawe mia kwa mia ..... nadhani JK atakua bado anatafakari nani awapeleke China na USA; maana hizo sehemu mbili zinahitaji watu makini sana.
  14. Kiwalani

    Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!

    Ndiyo faida ya kuendekeza "ukoloni" na "ubwana/utwana" ... hizi dini zililetwa na "wakoloni" na "mabwana" enzi zile ili kutupumbuza na kututawala .... kwa bahati mbaya bado tuko kwenye usingizi mzito ... imagine kusingekua na hizi dini za kuletwa; si tungeishi kwa amani!
  15. Kiwalani

    MWANAFUNZI HAFAULU KWA MAANDAMANO, dawa ni kubadili mfumo wa elimu nchini sio kila jambo maandamano

    Ndugu yangu Chris Mnyalukolo: Mimi pia ni mwanaCCM, lakini kwa hili naweka chama changu pembeni .... maandamano ni kushinikiza mawaziri wenye dhamana na Elimu wajiondoe ktk majukumu yao; kwa sababu wameshindwa kazi ... matokeo ya tume yatatekelezwa na waziri mwingine atakayekuja; waziri...
Back
Top Bottom