Mnawezaje kumtafakari TAL mana mm Kila nikijaribu kumtafakari kdg tuu basi utumbo unatetemeka,mwili unajawa hofu kuu,napata feeling tofauti kabsa na watu wa Dunia hii,mawazo yanakuja km vile nataka kumdadisi mtu asiyechunguzika.bado sielewi kwann hali hii.nitatafuta wataalam wanieleze Nini maana...
Nmeangalia competition tuu Huku nje kwenye soko la ajira,Kwa baadhi waliosoma nit ninaowafaham wapo very shallow Yan,kiasi Cha wao wenyewe kujisemea n heri wangesoma tuu must.tofaut na tuliopita ATC / wale wa mbeya.
Hatuna deni na vyuo vyetu
Chuo Bora Cha nyakati zote ni ATC,ila
Kwakua chaguo lako n mechanical na ATC wamekupa fani usiyoipenda,hayo ni maisha yako,fanya ukipendacho ata km kipo kwenye moto. nenda MUST,NIT sikushauri Kwa mechanical engineering.
Mtoa mada nmesoma Kwa makin nkizan nitapata kitu lkn Kwa ndoto mnh sidhan,
Nilifiwa na mama yangu ghafla.kabla ya kifo chake like 2 days katika story nlimuona akiniangalia Kwa huruma sana,nlipomuuliza alisema nakuonea huruma mwanangu,nikifa Hawa wadogo zako watakusumbua sana.cku nyingine...
SoMo zuri hasa watt wakiume tuwafundishe haya mapema,wangu anamiaka 7 kadhajua gari vzr badokukanyaga mafuta na breki mana miguu haifiki,lkn anafaham wapi mafuta wapi break,kunyoosha na mengine Hana tatizo.nlianza mfundisha mapema sana,sahv Huwa anajisemea nikiwa mrefu miguu ikifika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.