Mkuu, subira yavuta heri. Mishahara itaboreshwa tu kama alivyofanya ya watumishi wa tanroad alivyokuwa ujenzi. Tulianza na watumishi hewa, ikafuata uhakiki wa vyeti, sasa ni ajira mpya na iringa kuwa kitovu cha utalii.
Nyie WaK, ya TZ yanawahusu nini? Au ndio unonko mliozoea wa kutukataza kujenga mahoteli ya kitalii na barabara. Nawashauri hangaikeni na ya kwenu, TZ ya sasa sio ya zamani
Naona magonjwa ya kitabia yasiyoambukiza yataumiza wengi. Dom kuwa Jijj baadhi ya WaTZ wameumia. Poleni, kweli WanaMoshi walioko nje wakihesabikia kwao ni Jiji tosha. Cha muhimu ni kuwa wapole, subira yavuta heri
Ni swali zuri mkuu, nashauri endelea kuipenda. Maswali zaidi ya kujiuliza, ni wakati gani imenyooshewa kidole? kwanini ilinyooshewa kidole? kina nani waliinyooshea kidole? ilinyooshewa kidole gani? (kisiasa; kiuchumi au kijamii) nk
Pole mkuu. Katika WaTZ 55M hakuna hata mmoja aliyejitokeza tuone mfano wa kipigo cha mbwa koko! Inauma sana. Labda wape muda wajaribu hayo maandamano ya kuzunguka kitanda, au wabaki kwenye keypad. MUNGU ibariki TANZANIA...
Kinachonitia moyo, baada ya kibarua cha watumishi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni kufikia tamati, ripoti ya CAG imekuwa mbadala wa taarifa za utafiti na majibu/hoja za mawaziri vivuli wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. MUNGU IBARIKI BONGO COUNTRY
POLENI.
Wakati mwingine adhabu hutolewa ili iwe funzo kwa wengine.
Au dogo aliamua apite pale ili apate mazoezi ya kijeshi.
Bahati mbaya Ipogolo hukuwauliza ili tupate jibu sahihi, hebu fuatilia
Nachoona hapa ni ule mchezo wa 'kavukavu' umepamba moto licha ya tahadhari ya wataalamu wa afya. Tumuache Mh.RC afanyie kazi matunda yatokanayo na huo mchezo., pia lile andiko 68% ya WaTZ wanavimelea..... linawahusu Wachezaji na haliwaachi salama. Tusubiri kipyenga cha mwisho
Mashindano yasiyo na tija ni moja ya mambo yaliyopitwa na wakati. Wenye hekima wanaangalia namna ya kishirikiana kwa kuunganisha nguvu walizonazo katika kuleta maendeleo zaidi., nafurahi Waheshimiwa Rais Uhuru na Dr.John walipokutana Mara ya mwisho walitoka na kauli moja 'WAO HAWANA TATIZO...
Unasikitisha Mkuu. Kwenye ziara ya Rais unachoona au kufanya ni kuhesabu idadi ya magari tu!!!. Kwa akili yako unapendekeza msafara wa Rais uwe wa magari mangapi? Jiongeze kujua wanaotumia/panda hayo magari., Umuhimu wa kuwepo viongozi/watendaji wakuu wa Serikali wakati wa ziara hizo, hasa ktk...
Mktano huu wa Bunge la JMT ni Bajeti ya Serikali 2018/2019. Ni vema kufuata ratiba ya vikao vya Bunge, Wawakilishi wetu kujikita kupanga kilicho bora kwa WaTZ katika bajeti hii badala ya kuibuka na mengine,
Nimeona COMMENTS, hata hivyo hii Thread aliyeileta sio MHUSIKA. Ni vema kutenda HAKI kwa MTAJWA na WATAJWA wengine wote kwenye huu MJADALA kwa MUJIBU WA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Sitapenda haya kuwepo wakati huu,,, labda hiyo KATIBA nyingine tunayoambiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.