Recent content by Kivuyo A J

  1. Kivuyo A J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WINDOW CAN'T BE INSTALLED ON THIS DEVICE

    Habari wana jamii forum, ninayo pc ya hp nyeusi, changamoto yake leo nimejaribu kuweka window 10 2019 imegoma kabisa na sitaki kufuta data zangu zilizopo kwenye pc. Naomba mnisaidie.
  2. Kivuyo A J

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa benki

    Toa ushauri don
  3. Kivuyo A J

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa benki

    Kupunguziwa RIBA
  4. Kivuyo A J

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa benki

    Wadau kuna kichwa cha habari nimeona leo kwenye gazeti la Nipashe kuhusu neema kwa wakopaji na waliokopa kupunguziwa, naombeni mnieleweshe kwa wale wataalam wa mambo ya mikopo.
  5. Kivuyo A J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chris Mauki: Hatua tano za penzi

    This is jf na hapa ni sehemu ya mapenzi na mahusiano wewe kama uhitaji hizi stori usiingie humu nenda direct kwenye kipengele cha ujasiriamali. Okeeeey.
  6. Kivuyo A J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chris Mauki: Hatua tano za penzi

    HATUA TANO ZA PENZI (Ingawa wengi huishia hatua ya tatu) “Inawezekana hakuwa wakwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia sentensi zinazofanana na hizi hususani kwenye vinywa vya watu, marafiki au ndugu zetu ambao wamewahi...
  7. Kivuyo A J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mmmh[emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49]
  8. Kivuyo A J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  9. Kivuyo A J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Wataalam wa uchumi naomba msaada coz nilinunua mahindi mwaka hadi muda huu bado hayapanda, tena imeshuka, vp prediction ya baadae yanaweza kupanda kidogo kweli??
  10. Kivuyo A J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maana ya neno 'blue' kwa kiswahili

    Nashukuru mdau kwa majibu.
  11. Kivuyo A J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maana ya neno 'blue' kwa kiswahili

    Naombeni kujua maana ya neno blue kwa kiswahili sanifu.
Back
Top Bottom