Recent content by kivurumula

  1. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini nguvu na ushawishi wa CCM kwa wananchi na watanzania kwa ujumla huongezeka kadiri siku na miaka inavyosonga kitaifa na kimataifa?

    Hayo ni magnificent maoni binafsi ila kama ccm itaachaa uchaguzi uwe wa uhuru na haki hakika hawataambulia hata ujumbe wa nyumba kumi ,nukuu ya mwenezi mstafu polepole inasema hivyo pia jibaijuka anasema hivyo wote hao walikuwa kwenye mfomo wa serikal ya ccm hivyo sion ajabu kwa wew kuongea...
  2. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini nguvu na ushawishi wa CCM kwa wananchi na watanzania kwa ujumla huongezeka kadiri siku na miaka inavyosonga kitaifa na kimataifa?

    Huu ni mtazamo wako hakuna wa kukupinga ila ukikaa chini kimono moyo mwenyewe tuu unajishtukia
  3. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya maisha yangu baada ya kuoa

    Bora hata wewe umeongea vijana hawataki kuoa kabisa sijui wanajionajee
  4. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Jasiri haachi asili,maji hayasahau baridi we nenda akaiburuzee usituletee zakuleta ni mwanaume mwehu pekee ndio atakukubalia unachokitaka
  5. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Je, faida zipi chanya zinapatikana kwa kuoa zaidi ya mke mmoja?

    Bado hujakuwa subiri umri uitike ndio utajua saa hizii bado we kula uloje ukalale
  6. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kupanga njama ya kukuitia mwizi na watu wakakumaliza bila ya kuwa na uhakika wowote. R.I.P kwa wote yaliyowakuta haya

    Kila kilichoandikwa kikupate wewe mwanadamu hauwezi kukipangua hayo ndio maneno ya mungu baba aliye mbinguni
  7. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

    Mbona unadanganya umma inawezekanaje samia atoe agizo wakati ni haki yao ya kikatiba mbona unachanganya mambo au ndio uchawa unakusumbua
  8. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kumpa mtu kadi ya mchango wa harusi ilihali hamjazoeana?

    Mazoea na mchango mbona ni vitu viwili tofauti mkono wa kutoa huwa haukunjwii
  9. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    Wabadishe maandiko alafu wayapeleke wapi kama umeamua kuwa mzinzi we endelea na uzinzi wako waachee na kitabu Chao kisichokuwa na ubabaishaji kitambo kilicho nyooka
  10. kivurumula

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Mfuasi mmoja niko hapa Bega kwa Bega mpaka tone la mwisho mwamba
  11. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Hebu rejea kauli ya mchungaji kimaro alisema wakristo wengi ni majizii sana na wenye taamaa na mafanikio ya haraka Mimi Kama mkristo namuunga mkono bakhresa kwa 100% wakristo tumezidi ujanja ujanja na uroho wa mali
  12. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Kupata mkopo wa halmashauri taratibu zikoje?

    Bandugu kama kichwa Cha juu kinavyojieleza nilitaka kufahamu mikopo ya halmashauri kwa ajiri ya vijana kujikwamua katika wimbi la ajira na umasikini. Vipi ni nani aliewahi pata mkopo na taratibu zikoje Wasalam
  13. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kipi kimemvutia huyu kiongozi wa kanisa katoliki kuingia dini ya Uslamu

    Tuambie uasisi huo ulikuwaje
  14. kivurumula

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kipi kimemvutia huyu kiongozi wa kanisa katoliki kuingia dini ya Uslamu

    Shekh gan aliokoka tushushie mkeka nasisi tuokoke
Back
Top Bottom