Recent content by Kivumishi Kielezi

  1. Kivumishi Kielezi

    Una experience gani mbaya au nzuri kuhusu kukaa kwa ndugu?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo mtu hajielewi kabisa.
  2. Kivumishi Kielezi

    Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

    Wacha weeee!! Kwahiyo hapo ndio umeandika Kizungu yaani?
  3. Kivumishi Kielezi

    UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

    Hahaha Mabasha zenu wa ulaya wamewagomea kwenye uhuni wa loliondo.
  4. Kivumishi Kielezi

    Una experience gani mbaya au nzuri kuhusu kukaa kwa ndugu?

    Siku ukifariki, watoto wako watalelewa na machokoraa. Utajua hujui.
  5. Kivumishi Kielezi

    Una experience gani mbaya au nzuri kuhusu kukaa kwa ndugu?

    [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]
  6. Kivumishi Kielezi

    Kwa hotuba hii ya Waziri Masauni, ni dhahiri nchi haikuwa na amani

    Pro mwendazake ni pamoja na samia pia. Umesahau kwamba uchaguzi wa 2020 ndio umemuweka samia hapo alipo leo? Nyumbu mtadanganywa hadi lini?
  7. Kivumishi Kielezi

    Rais Samia Tafuta wawekezaji haraka wa makaa ya mawe, chuma na madini ya coltan vita ya ukraine imepandisha soko Ulaya kabla hayajatudodea

    Yuko bize na chanjo pamoja na royo tua. Chanjo kwanza, madini baadae. Mama anaupiga mwingi.
  8. Kivumishi Kielezi

    Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

    Utaachaje kushangaa wakati ulikuwa umebebelea MAVYETI FEKI? Utashangaa sana. Wenzio tulibukua hatuna hofu.
  9. Kivumishi Kielezi

    Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

    Mama anaupiga mwingi. Huyu ndio Chui Jike/ chief Hangaya. Majizi yametamalaki mitaani chini ya uongozi shupavu na mahiri wa mama samia suluhu Hassan. Wapi sukuma gang? Anaupiga mwingi mpaka unatoboka.
Back
Top Bottom