Recent content by kivava

 1. kivava

  Rais Shein amwakilisha Rais Magufuli kwenye kongamano la kimataifa la Blue Economy linalofanyika Kenya

  Zaidi ya Dreamliner,SGR, na Stieglers Gorge hana la kuzungumzia.
 2. kivava

  Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

  Raslimali bila ujuzi na elimu ni kazi bure. Venezuela wana mafuta mengi sana lakini leo theluthi ya raia wake wamekimbia nchi yao kutokana na umaskini uliokithiri. Raslimali za Tanzania zinatusaidia nini wakati bajeti ni trillion 33 makusanyo ya TRA ni wastani wa trillion 17.5?
 3. kivava

  Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

  Kwa nini mtu anachafua majina ya Nyerere na Nkrumah?
 4. kivava

  Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

  Waaulize CCM na Shein wao huu muungano mnalazimishwa? Kama koti linabana si mlivue kama alivyosema marehemu Karume
 5. kivava

  UDSM: Rais Magufuli kuzindua Maktaba ya kisasa,kuzungumza na Taifa

  Zaidi ya ndege, SGR, korosho na Stieglers Gorge hana lolote la ziada atakalozungumza. Zero
 6. kivava

  Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

  Kusema mtu ataishi miaka mingi hivyo atalipwa muda mrefu zaidi ni ujuha uliopitiliza.Kanuni zinasema ni kwa miaka kumi na mbili tuu,je akiishi zaidi ya hapo?
 7. kivava

  Hii sasa ni pupa, ni papara

  Zinakuja Airbus 200 mbili ili kuzipa nguvu Dreamliner na Bombardier katika safari zake za Dar -KIA- MWANZA. CRIPES nani katuroga?
 8. kivava

  Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

  Kwa kuwa siku hizi Kichaa anagawa hela atakavyo basi na ampe swahiba wake aliyechangia sana "ushindi"🤔 wake msaada
 9. kivava

  Picha:Kangi Lugola akiwa na viongozi waandamizi wa Zanzibar

  Utadhani kuna mashindano ya nani hajui kuvaa vizuri zaidi.
 10. kivava

  Hivi kwanini Bakwata mnatumika sana na CCM?

  Bakwata ilianzishwa na serikali na kwa sasa ni kama jumuia ya CCM sawa na UWT au UVCCM. Sio kwamba Waislamu wanaipenda la hash's bali nguvu kubwa ya dola inayotumika kulinda. Masheikh wote waliojaribu kuipinga walipata matatizo makubwa ikiwemo shs Takadir kufukuzwa Dar es salaam kuwa sio raia na...
 11. kivava

  Military Politics: Is Magufuli in danger?

  Teknolojia ya mambo ya kijeshi inabadilika kila kuacha hivyo wanajeshi wetu wanatakiwa wawe mafunzoni na mazoezini kila uchao. Sio kubeba na kubangua korosho huku ikiuwa sekta binafsi Hata yanayotufika huko Beni DRC,tungeweza kuepukwa nao kama mbinu na teknolojia mpya ingekua ndio kazi kubwa ya...
 12. kivava

  Watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio, tv, simu,computer na wa vifaa vya mawasiliano lazima wawe na leseni toka TCRA

  Nasikiliza Magic FM kipindi cha Sundowner jioni hii mara wanarusha tamshi la TCRA Kuanzia sasa wauzaji na watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio,tv,simu,computer nk wa vifaa vya mawasiliano lazima pamoja na leseni ya biashara lazima wawe pia na leseni toka kwao. Haijalishi ni Machinga,au...
 13. kivava

  Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?.

  Paschal Kuambiwa mtoto aliyepata mimba shule ni asi adhibiwe milele ni kudhalilishwa? Afanalek watu waliowalawiti watoto wa kiume wamesamehewa na kufanyia dhifa Ikulu ni sawa lakini mtoto aliyetelezeshwa sio sawa kumsamehe Cattle hearder mentality Kwenye nchi ambayo bajeti ni trillion 33 ambayo...
Top Bottom