Recent content by Kivareri Kidawaki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Kama like.umpata za kutosha.Wewe ni bingwa wa kubuni.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanywaji wa maji tu: Tupeane changamoto mnazokutana nazo watu wanapojua haunywi pombe

    Hongera kwa maamuzi mazuri.Vinywaji baridi ni chanzo kikubwa cha ugonjwa.wa kisukari.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha wamulikwe

    Raia peke yao ndio wanaopaswa wakiuza au kununua kutoa risiti lakini wao wanachukua fedha halafu wanakuambia ukachukue.risiti ofisini kwao. Wao wako juu ya sheria?.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha wamulikwe

    Hali hiyo tumeizoea madereva wa Arusha. Mimi linalonikwaza nikuwa hawatoi risiti halali za Serikali.Kila askari mmoja anakitabu cha faini.Lakini risiti halali za Serikali hawatembei nazo.Hizo fedha zinfika kunako husika au ni za kubrash viatu?.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa aina hii watanifanya nifungwe miaka 30

    Mnunulie mkeo hizo sare azivae halafu anatoke nazo.Roho ya itatua kwa maana shida yako kubwa ni hizo sare.
  6. K

    JamiiForums Tanzania North Korea yatishia kuigeuza nusu ya USA kuwa jivu na Kuizamisha Japan baharini

    sina la kuchangia hapo, yangu macho na maskio.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wanatoza faini kwa kosa la kuwa na seat cover zilizochanika

    Maneno hayo!,Mimi ugomyi wangu ni wao Askari kutuandikia faini bila kutupa risti huku kanda ya kadkaxini? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Faini za papo kwa papo barabarani mbona hatupewi risiti?

    Hizi faini mbona huku Arusha na Kilimanjaro hatupewi risiti tunapokamatwa askari? Wanachukua fedha halafu wanatupa karatasi nyeupe. Hiyo imekaaje wanajamvi. Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Faini za barabarani zinalipwa Cash?

    Ni hatari sana!leo nilikuwa ninapeleka mgonjwa kcmc, nilikuwa naendesha gari kwa uangalifu sana.Kufika maimoria nikapigwa mkono nikaonnyeshwa picha kwenye cm.Inaonyedha kuna sehemu nimezidisha speed,wakasema ni km 5 huko nyuma nikaandikiwa faini. Nilivyodai risiti ya Serikali nikaambiwa...
Back
Top Bottom