Recent content by KIUNGOMCHEZESHAJI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Ningekuwa jirani hapo ningekuzaba kofi wallahi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unanifanya Tairi spea nimenyamaza, nimekufanya emergency exit mbona makelele?

    Nikurushie namba basi umsaidie ww
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unanifanya Tairi spea nimenyamaza, nimekufanya emergency exit mbona makelele?

    Mimi sio simba aliyekosa nyama akale majani.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unanifanya Tairi spea nimenyamaza, nimekufanya emergency exit mbona makelele?

    Habarini wandugu. Kuna tabia inazidi kushika kasi katika jamii zetu na usipokuwa mwangalifu utajikuta unaumizwa kila kukicha. Ingawa imeshamiri sana kwenye mahusiano ya kimapenzi (wengine huita kuwekana friend zone), lakini iko sana hata kwenye mahusiano ya kijamii tuu, kwa ndugu, jamaa na...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    senti yangu hailiwi kisela. Haijaliwa pussy na haijachomolewa senti, bado tunasumbuana mjini hapa. Iko siku atafikia dau tuu tena nitalimega kisela na kusepa. Kuna mmoja alinisumbua miaka miwili, na mimi nikaamua kumpotezea tuzungushane, siku aliyoingia 18 zangu nilihakikisha anaondoka...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    Paula Paul, Ngoma huwa tamu pale mwanamke anapomuweka mwanaume friendzone alafu mwanaume yy anamuweka mwanamke fuckzone. Imenitokea nilifahamiana na mtoto mmoja anajidai mtoto wa mjini. Nilimsoma mapema sana kuwa huyu ni born town, so alishajipanga kunichuna, so nilijipanga mapema...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Nimesoma post na comments zote lakini kuna hoja za msingi naona hazijibiwi. Kuna wadau wameuliza, vipi walio vijijini ambapo watu wapo mashambani mwao na hayajapimwa? Watanzania wengi wanaishi vijijini na wanajenga na kuishi, tena na umeme wamewekewa. Vipi mnasemaje kuhusu watu hawa sheria...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Anadharau waliojenga msingi na ukuta wa matofali, anaona kujenga paa ndiyo muhimu zaidi

    Jiwe hahitaji hao makanjanja waliomuweka ili aendeleze utawala wake. Anahitaji Tiss na Policcm
  10. K

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Tulieni sindano ipenye.
  11. K

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Siwezi kujipa moyo kwa jambo unalolijua. Kabla ya mechi nilishabet Algeria anashinda. Japo moyoni naipenda Senegal Usiku wa ajabu sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    3 nyingi sana itakuwa siyo fainali. Magoli ni kati ya 1:0, 2:0, 2:1
  13. K

    JamiiForums Tanzania Video: Nape Nnauye akana sauti inayodaiwa ni yeye na Kinana

    Nape stupid
  14. K

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Mi ndo natoka kuoga navaa nikaangalie hapa jirani hata sina hamu tena ngoja nilale tuu nitasikilizia redioni
  15. K

    JamiiForums Tanzania 2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Goli la dk ya 2 inakata maini kabisa. muda wote unacheza unahaha kurudisha
Back
Top Bottom