Recent content by kityukulu

  1. K

    Waislamu wamtaka Rais Magufuli kuzingatia utawala bora na usawa

    Nina wasiwasi na huyo kiongozi inawezekana kabeba jina la uislam lakini isije ikawa ndio hawa wanaoingia misikitini na kuua watu hovyo halaf wanavaa vazi la uislam na asichafue uislam
  2. K

    Waislamu wamtaka Rais Magufuli kuzingatia utawala bora na usawa

    Mh mimi aijaelewa hapo au mtoa uzi umepotosha maana ya huyo kiongozi?
  3. K

    UKAWA wamsusia Magufuli

    Ulizoea kula vya dezo sasa vimebanwa ndio unamuita dictator
  4. K

    UKAWA wamsusia Magufuli

    Hata hivyo jay one mbona mi naona huyo lissu hata hatambui alichosema anamaanisha nini maana unapompa mtu sifa ya uchwara it meanz anajifanya na sio halisi
  5. K

    Prof. Joyce Ndalichako, Waziri ninayemuunga mkono kuliko wote

    Mi naungana na jires kuhusu huyu mama kwani haya anayosema leo wakati yanafanyiwa maamuzi si alikua pale na alikua mtendaji wa Ngazi ya juu tu? I stand to be corrected wanajamvi
  6. K

    Revealed: Kigogo wa Polisi Dar na Benki ya KCB matatani

    Watu wanamtaka huyo kigogo wa polisi
  7. K

    Revealed: Kigogo wa Polisi Dar na Benki ya KCB matatani

    Wisoblowa toa jina mtu afuatiliwe
  8. K

    Genge la Lowassa ni janga la Taifa, wenye macho ya ziada walisaide Taifa hili

    Tatizo la walio wengi humu ndani wanafikiri kuwa kila anayeongea tofauti na mawazo yake basi ni mshabiki wa kisiasa, acheni mawazo ya muelekeo mmoja
  9. K

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Mi nikiona unaongea hivyo unajitambulisha kuwa ni mtu ambaye fikra zako zinaishia jioni hii tu ila pakikucha kesho utajua kitakachojiri hiyo kesho
  10. K

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Kumbukeni kuwa Obama alipokua anaingia madarakani move ilikua kama hii na wengine hata walikua wanalia kuonyesha sympathy wakimaanisha mkombozi amekuja, lakini leo wanaandamana na mabango wakipinga sera zake ikiwemo ya ushoga ambayo bila woga kabariki, naomba tutafakari zaidi watanzania...
  11. K

    Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    Mwenye hotuba ya Mwigulu aitupie basi tuone alichoongea maana wengine hatujamsikiliza ili tuweze chambua
  12. K

    Mfanyabiashara amdhulumu mwenzie kwa kumuua na kumzika Ilala Sharrif Shamba!

    Wakubwa hiyo imekaaje mbona inakuja kwa mikatiko? Hebu anayejua hiyo issue atumwagie kirefu
  13. K

    Mabinti amkeni mnazeeshwa na makanisa ya kiroho

    Kwani huyu mleta Mada kakurupukia wapi
  14. K

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Kwani mbona watu mmekua wakali hivi mmeshikwa nyeti nini?
Back
Top Bottom