Recent content by KITUNZI MASABO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nitapataje mke wa kuoa?

    Mimi ni ni kijana, nina miaka 25 mwanafunzi wa mwaka wa kwanza,nahtaji msichana wa kuchumbia mwenye sifa zote za uafrika! Ombi kwenu wana jamvi, nitatumia njia gani kumpata? Msaada tafadhari!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa

    Watu wengi hasa nchi hii wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya nani mke mzuri wa kuoa. Zifuatazo ni baadhi ya sifa za jumla ambazo wana zipendekeza, awe msomi, asiwe anatoka familia yenye magonjwa kama ya kurith, awe na umri wa mdogo kulko wewe, awe mcha mungu, akupende wewe, ndugu na jamaa zako...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi UDOM!

    Juz tar 28 mwez huu imezinduliwa taasisi maarufu sana ya kichina iitwayo Confucius Institute katika colege ya SSH Udom, na Mzee wenu Mkapa, masomo yatakayo fundishwa ni pamoja na Hu Shu, Karate, chinese language na chinese culture! Wakati hayo yanafanyika kuna baadhi ya faculty ambazo mpaka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Ahsante sana Mkuu!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    Jamani wanasheria mnisaidieni kwa hili nani anapaswa kudistribute ardhi ya kijiji kwa wananchi ama kwa kuwauzia ama vinginevyo (a, VEO, b, WEO, c, mwanasheria yeyote, d, kamati ya kijiji ya ardhi. Nisaidieni tafadhali
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya lugha ya Kiswahili

    Twapaswa tuamke! Hii itakuwa moja ya incentives za uwekezaji maana watu wengi duniani wana hamu ya kujifunza kiswahili
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya lugha ya Kiswahili

    Imekuwa ni kawaida kuona nchi nyingi duniani zkianzisha shule mbalimbali za kufundisha lugha zao, mf. China, Japan, Russia na Spain. Kiswahil kikiwa moja ya lugha zinazokua duniani, kuna nchi ngapi ambapo kuna shule za kitanzania ambazo zinafundisha kiswahili kama njia ya kuendeleza lugha yetu...
Back
Top Bottom