Recent content by Kitunyiro

  1. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Naulizia amplifier..,kama unakua nazo
  2. K

    JamiiForums Tanzania SOLD: TVS pikipiki inauzwa

    ipo 1.5
  3. K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbwa wewe umekaa palee[emoji117][emoji117]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Weka picha tuione iyo s6 edge plus mpyaaaa
  5. K

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Hisense 40 inches Smart TV kwa 765,000

    Tupatie contact zake au hata ID yake.,tumcheki
  6. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Biashara ya mchele kutoka Morogoro

    Nikiwa Dodoma mchele super unanifikia kwa shingapi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Thanks
  8. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Nahitaji kupata ufahamu kidgo juu ya body ya izi noah new shape ni kama jepes sana linachakaa haraka sana na pia linabonyea ovyo ovyo,ni kweli au macho yangu yanaona tofauti
  9. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari used Tanzania

    Mkuu mwenye mil 5 hawezi pata iyo gari
  10. K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole amekua hana matokeo mazuri pindi anapocheza uwanja wa nyumbani..,Pep anaweza jichukulia point 3 kiulaini
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tabia 10 ambazo zinaweza wakimbiza wateja na kuua biashara yako

    Be blessed..,umeongea vyema sana na ndio tabia halisi tunazokutana nazo kwenye biashara nyingi nionhezee nyingine muuzaji anakwambia hana chenji ivo hawezi kukuuzia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kujiandaa kupeleka bidhaa nje, unahitaji kujua mambo haya

    Asante kwa Elimu hii bora sana hakika imetufungua wengi..,mi nilikua nahitaji kujua soko la unga wa ubuyu(Baobab fruit powder) lipo nchi gani..? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya juice ya miwa. Iko Dodoma

    Ni swali zuri hili mkuu..,Ni vyema utujulishe sabab ya kuiuza naamin itatushawishi..,au biashara ya juis ya miwa Dodoma haifanyi vizuri
  14. K

    JamiiForums Tanzania CANTER YANGU IMEKOSA KAZI

    Ni tani ngapi..??uwezo wa kubeba mzigo tani 3.5 au tani 2..??
  15. K

    JamiiForums Tanzania Biashara hii kutoka mbeya kuja dodoma ikoje?

    Kwenye biashara mtu muhimu sana ni mnunuzi..,mkuu nafikiri anza kwanza sokoni ukiwa na uhakika na soko waweza maliza changamoto nyingi zikiwemo za usafiri au mtaji mdgo kwa maana kupewa kiazi uuze ndo uje ulipe(mali kauli) na kama mbeya ni mbali pia Njombe kuna viazi vingi sana na barabara nzuri...
Back
Top Bottom