Recent content by Kitunumbi

  1. K

    Wassira: Mnyika jibu hoja, hotuba zangu ziko recorded acheni upotoshaji

    Wewe una tatizo kidogo nenda kapime mapema.... kabla hujawa kichaa..
  2. K

    Wassira: Mnyika jibu hoja, hotuba zangu ziko recorded acheni upotoshaji

    Ndiyo WASIRA alisema ila aliyoyasema hayakuwa documented.Mbona hata KIBANDA aliponyofolewa kucha alitamka kuwa ni mtu mdogo sana baadaye akapinga.Kwa huyu mzee kwa kuropoka kazoeleka.
  3. K

    Mbunge wa Dodoma mjini awataka wananchi kuwapiga CDA

    Kumbe nao MAGAMBA wameona hizi njia zinafaa eti eeh.
  4. K

    Ungependa nani awe mbunge wako kupitia chama cha chadema hapo mwaka 2015?.

    ISRAEL MARTIN KIDUKO-Mufindi Kusini.Kuna haja sasa ya watu ambao wameguswa na kupata uchungu wa namna rasmali za Taifa zinavyofujwa hovyo na WAJASILIATUMBO kusimama na kusema sasa basi.
  5. K

    Pres. Obama to Visit South Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria

    Asipowadhibiti hawa akina Sheikh PONDA na Sheikh ILUNGA na huo UGAIDI wao basi asipewe MGODI hata kama mmoja.
  6. K

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    Hivi na mh. MULUGO naye ana kigugumizi au ndo haijui nchi yake au hajui kusoma kabisa kwasababu kutoka Zanzibar mpaka Zimbabwe mbona aliteleza sana.
  7. K

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    UDINI upo ndo maana makamu mkuu amekiri.Namshangaa huyo mh.NGAMIA anayetaka kubisha wakati hata hajui kitu kisa kiherehere cha kisiasa kinamtafuna.
  8. K

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    UDINI upo ndo maana mkuu wa chuo kakiri.udini udom hauishii kwa wanafunzi tu bali mpaka kwa watumishi ndo maana watumishi wengi waliposikia hilo suala limefika kwa umma wa watanzania walifurahi sana kwani kilio chao kilisikika.Huyo mh.NGAMIA aliyepinga napata wasiwasi pia hata kama taaluma yake...
  9. K

    Saumu aomba ulinzi wa CCM!

    We MAREHEMU kweli kwani ZITTO KABWE(NAIBU KATIBU MKUU) na SAID ARITH AMOUR(MAKAMU M/KITI BARA) ni WASABATO au WALOKOLE.halafu acha kufikiri kwa mapaja ww UDINI wa nini hapa?
  10. K

    Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

    Hakuna mwenye kipingamizi na match hii? ajitahidi kuwasilisha mapema.
  11. K

    TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    Poleni wafiwa
  12. K

    TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    Poleni wafiwa wote.
  13. K

    TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    Samahani mtoa mada huyu marehemu alikuwa anatoka Iringa kikazi au nyumbani kwake? coz nahisi namfahamu kama atakuwa alikuwa anaishi Iringa.Naweza hili kama kuna mdau alimfahamu marehemu vizuri. msaada tafadhari. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.AMINA
  14. K

    TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    Samahani mtoa MADA huyu marehemu alikuwa Iringa kikazi au nyumbani kwake? kama ni nyumbani kwake basi nahisi atakuwa anatokea maeneo ya Mufindi katika kijiji kinaitwa Nzivi of course kama ni yeye basi kwa maeneo yale alikuwa mtu maarufu sana ingawa kiutendaji sikuwahi kumdetail zaidi katika uhai...
  15. K

    SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    Wadau; SUMATRA jana ilitangaza viwango vipya vya nauli huku usafiri wa Treni ambao kwa kiasi kikubwa ni kimblio la WATANZANIA wa hali ya chini kiuchumi ukipandishwa bei mfano Dar es Salaam-Kigoma Sh27,500(sasa) Sh19,084(zamani).Je gharama hizi zimezingatia hali ya mlaji hususani Mtanzania wa...
Back
Top Bottom