tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Katika hali ya kushangaza mbunge wa Dodoma mjini Mh.Malole amewataka wananchi wa kata ya Kizota kinunua filimbi ili kuzitumia kuitana na kuwapiga wafanyakazi wa CDA. Amewataka wananchi kuacha uoga na kupigania ardhi yao ambayo amedai wananyang'anywa na CDA. Amesema yuko pamoja na wananchi na kuthibisha hilo amejitoa katika bodi ya CDA
Hivi karibuni wananchi wa Kikuyi Kusini waliandama kupinga uonevu wanaofanyiwa na CDA na mkuu wa Mkoa Dr
Rehema Nchimbi walitunishiana msuli na mkurugenzi wa CDA
Hivi karibuni wananchi wa Kikuyi Kusini waliandama kupinga uonevu wanaofanyiwa na CDA na mkuu wa Mkoa Dr
Rehema Nchimbi walitunishiana msuli na mkurugenzi wa CDA